minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 182
- 412
Na yeye ampangie tarehe na mwezi wa kupokea jibu kwani tatizo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena tuna akili nyingi mno
Jamani mbona huyo kapewa mda mchache, nenda kafatilie msichana wa kipemba miaka 2 hujapata jibu la kuridhisha.
ahahahaha..,,.sina iman na tar 24,,.nna mashaka na hiyo tarehe....me ningemwambia anijibu tar 2
jambo lolote linalompata mtu tar 24, 25 (dec) na mkesha wa kufunga & tar 1 mwaka mpya huwa halisahauliki kirahisi!!
hope for the best and prepare for the worst.
Wakuu kuna jamaa angu alimtokea dada mmoja kitaani kwetu toka mwezi wa saba. Kamfatilia wee eti leo ndio kamwambia atampa jibu tar 24 mwezi huu.
Je ni haki kweli kumtesa mwenzio miezi yote hiyo??? Nawauliza nyie kina dada, kuweni na huruma jamani Ebro... !!!
Kwanza miezi5 naona michache sana.... Nyie dkk2 wazuri dkk3 wabaya. Hata asifanye haraka dada wawatu
huyo hana lolote,kaona sikukuu inakaribia tu
kwani mkuu huna habari kuwa X-mass ni december 25?
Mwache dada wawatu aendelee kumtafakari jamaa. Wanaume wenyewe sikuhizi mmekua changamoto
teh teh teh
you are mistaken Vale,kuna baadhi na siyo wote..!
Wanawake sasa ndio balaa kabisa...
Wakati huo hela na offer anapokea au nazo zinasubiri?!
Hamna akili, labda za kuvalia chupi.
Huko kutafakari sasa
Na huyo jamaa bado tu anasubiria
Ndo kwanza ananiuliza ampeleke kiwanja gani