Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

Hivi kuna watu bado wanasubirishwa kiasi hiko!!!

Kwa nn usingemshauri jamaa ako asome hata full secretarial course angekuwa ka-graduate.

Hahahaaa mkuu nimeikubali itabidi nimwambie
 

Asante mkubwa umesomeka ila kabla hujawa mkubwa ulikuwa mdogo
 

HAPO BIla Shaka Atakubaliwa na Kutokana na "UCHENJEU" Wake Ataona Amepata Kumbe Watoto Wa Mjini Tunasema Amepatikana, Kwani Huyo Demu Bila Shaka Anataka Amgeuze Jamaa ATM yake ya Sikukuu za Noeli, Boxing Day na Mwaka Mpya na Baada Ya Hapo Nadhani Jamaa Yako Ataisoma Namba Kulikobobea Kwani Nina Uhakika Papuchi Ataisikia Kwa Jirani Tuu.
 

Itabidi jamaa akomae hadi apige yani lasivyo ataambiwa hadi tar 24 ya 2016
 
Kusema kweli dada ajampnda jamaa make na mie nina mtu kila akikumbushia ombi lke namwambia asubili ctaki kumpa jibu la hapana ili asijisikie vibaya so namvutia mda ili ajiongeze
 
Kusema kweli dada ajampnda jamaa make na mie nina mtu kila akikumbushia ombi lke namwambia asubili ctaki kumpa jibu la hapana ili asijisikie vibaya so namvutia mda ili ajiongeze

Huoni kama unamtesa mwenzio kwanini usimwambie ukweli tu ajue
 
Tunausubili huo mrejesho kama atakuwa amefanikiwa khila kheri katika huu mkesha
 
Mrejesho:Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu


Hatimae jamaa kakubaliwa ila sasa kaspend pesa nyingi sana kwa siku ya leo. Japo binti kamkubalia ombi lake ila naona kabisa hawawezi dumu kwani huyu dada anaonyesha anapenda sana maisha ya juu.

Na bado kesho anataka kutolewa tena ili wakale sikukuu ya krismass, sijui kama watafika hata tarehe 3/2016. Sio kwamba nawaombea mabaya ila ni kwa mtizamo wangu
 

usijenidanganya kuwa jana hiyohiyo kamnunulia smart phone na kumpeleka shopping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…