Kwanza huwa Wanachambua nini?Soma mwenyeweView attachment 2354685
Hivi Edo Kumwembe naye ni mchambuzi wa soka? Ni lini amelijua soka hata kuwa mchambuzi wa soka? Ni lini amecheza soka kwa kiwango cha juu kisha kujiweka kwenye uchambuzi wake? Anawalaumu bure wenzake maana wote wao na yeye soka hawalijui. Afadhali wenzake wameona wajazie upungufu wao kwa kuchambua yasiyohusiana na soka lakini angalau yako jirani na soka na wanaweza kuzoza hapo!!Soma mwenyeweView attachment 2354685
HahahaaaaBongo hakuna wachambuzi, labda wachagua mchele.
MmmmhHivi Edo Kumwembe naye ni mchambuzi wa soka? Ni lini amelijua soka hata kuwa mchambuzi wa soka? Ni lini amecheza soka kwa kiwango cha juu kisha kujiweka kwenye uchambuzi wake? Anawalaumu bure wenzake maana wote wao na yeye soka hawalijui. Afadhali wenzake wameona wajazie upungufu wao kwa kuchambua yasiyohusiana na soka lakini angalau yako jirani na soka na wanaweza kuzoza hapo!!
Uchambuzi wa soka hapa bongo waachiwe kina Ally Mayai Tembele na wenzake waliowahi kuujua na kuucheza mpira!! Nyie akina Kumwembe mnakera sana wala huna tofauti yoyote na wenzako!!
Ukipunguza chuki na hasira unaweza kujua tofauti ya Eddo na hao wenzake uliowaandika..... halafu wapi wamesema ili uwe mchambuzi lzm uwe umecheza soka kwa kiwango cha juu!!Hivi Edo Kumwembe naye ni mchambuzi wa soka? Ni lini amelijua soka hata kuwa mchambuzi wa soka? Ni lini amecheza soka kwa kiwango cha juu kisha kujiweka kwenye uchambuzi wake? Anawalaumu bure wenzake maana wote wao na yeye soka hawalijui. Afadhali wenzake wameona wajazie upungufu wao kwa kuchambua yasiyohusiana na soka lakini angalau yako jirani na soka na wanaweza kuzoza hapo!!
Uchambuzi wa soka hapa bongo waachiwe kina Ally Mayai Tembele na wenzake waliowahi kuujua na kuucheza mpira!! Nyie akina Kumwembe mnakera sana wala huna tofauti yoyote na wenzako!!
Huyo Edo ni mpiga domo tu kwa kuwa mpira unapendwa na watu wengi basi nao wanaojiita wachambuzi wanapata kula yao hapo maana kuna wengi wanaopenda kusikiliza domo lolote linalopigwa kuhusu mpira.Soma mwenyeweView attachment 2354685
Si lazima uwe umecheza mpira ili uwe mchambuzi mzuriUkipunguza chuki na hasira unaweza kujua tofauti ya Eddo na hao wenzake uliowaandika..... halafu wapi wamesema ili uwe mchambuzi lzm uwe umecheza soka kwa kiwango cha juu!!