Mcanada
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 982
- 1,942
WACHA ..MBUZISoma mwenyeweView attachment 2354685
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WACHA ..MBUZISoma mwenyeweView attachment 2354685
Jemedari Kila kitu kwenye mpira kafanya,kacheza mpira Kwa level ya ligi kuu na National Team,daraja la kwanza,daraja la pili,Kawa kiongozi wa team ya ligi kuu,Kawa kiongozi wa TFF,kasoma uandishi wa habari,kasoma utawala ,ni kocha mwenye leseni kubwa Kiufupi yupo kwenye Kila kitu Cha mpira anauongea mpira ameusomea na anaijua ACHA AUCHAMBUE ,kwake Nyeupe ni Nyeupe na Nyeusi ni NyeusiBin kazumari nasikia huyu naye ni mchavuzi
Soma mwenyeweView attachment 2354685
Jemedari amecheza timu ya Taifa mwakagani?wakati apo ndanda kupata nafasi mbaka uka palilie Shamba la mikorosho ya meneja wa timu!!Jemedari Kila kitu kwenye mpira kafanya,kacheza mpira Kwa level ya ligi kuu na National Team,daraja la kwanza,daraja la pili,Kawa kiongozi wa team ya ligi kuu,Kawa kiongozi wa TFF,kasoma uandishi wa habari,kasoma utawala ,ni kocha mwenye leseni kubwa Kiufupi yupo kwenye Kila kitu Cha mpira anauongea mpira ameusomea na anaijua ACHA AUCHAMBUE ,kwake Nyeupe ni Nyeupe na Nyeusi ni Nyeusi