Ameandika Edo Kumwembe

Bin kazumari nasikia huyu naye ni mchavuzi
Jemedari Kila kitu kwenye mpira kafanya,kacheza mpira Kwa level ya ligi kuu na National Team,daraja la kwanza,daraja la pili,Kawa kiongozi wa team ya ligi kuu,Kawa kiongozi wa TFF,kasoma uandishi wa habari,kasoma utawala ,ni kocha mwenye leseni kubwa Kiufupi yupo kwenye Kila kitu Cha mpira anauongea mpira ameusomea na anaijua ACHA AUCHAMBUE ,kwake Nyeupe ni Nyeupe na Nyeusi ni Nyeusi
 
Jemedari amecheza timu ya Taifa mwakagani?wakati apo ndanda kupata nafasi mbaka uka palilie Shamba la mikorosho ya meneja wa timu!!
Pale Tff vijana wengi wamepelekwa na Salum Madadi kwakua alikua kocha wa timu ya Taifa na mkurugenzi wa ufundi pale Tff Kwa muda mrefu sana, wakawapa na vi michongo vya kozi mbili tatu kwasasa wanamtumia kwenye propaganda za kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…