Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Amebadilika siku chache kabla ya mahari

Ahsante sana. Kabla ya yote alibainisha kiwango alichokuwa nacho. Hata gharama za mwisho zililenga hapohapo baada ya kuieleza familia yangu. Lakini tayari alishafanya maamuzi. Nilijitahidi kumuomba aje na kiwango chochote alichonacho lakini ikawa ngumu tena kwake. Mambo ya Mungu ni mengi ni njia zake hazichunguziki.

Kuna kitu nimegundua kwenye familia hasa wakati wa ndoa. Kuna wanafiki watajitokeza na kusema maneno watakayo yasema, ili ndoa isifanyike halafu wapate wacheke pembeni. Lakini wakija kwenye kikao cha posa(ndoa) hujifanya kondoo ila nafsi zao za chui. Ushauri wangu kwako mpigie mwenza wako simu mwambie hivi:- KAMA UNANIPENDA NA UNATAKA UWE NA MIMI MILELE MWENYEZI MUNGU ATAKULETA NA NDOA YA KHERI ITAFANYIKA. KAMA SIO RISKI YANGU INSHALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE MWENYE KHERI NAWE PAMOJA NA MIMI.
Mwanaume wa kweli atayatafakari sana hayo maneno, baada ya hapo omba kwa Mola wako akufanyie wepesi pia toa sadaka kwa mnyama au wadudu(sukari kwa sisimizi au dagaa kwa paka) hakika sadaka huleta Amani ya Moyo na furaha ya nafsi.

Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
 
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
Kwani wewe unataka shoo au unataka atoe mahali? Miaka minne unakazwa bureee, wewe ndo umebadilika sio yeye wewe si unataka mahali?
Kama mnapendana wapige chini wazazi wako na hizo mahali zao au msubili mwingine.
 
Kuna kitu nimegundua kwenye familia hasa wakati wa ndoa. Kuna wanafiki watajitokeza na kusema maneno watakayo yasema, ili ndoa isifanyike halafu wapate wacheke pembeni. Lakini wakija kwenye kikao cha posa(ndoa) hujifanya kondoo ila nafsi zao za chui. Ushauri wangu kwako mpigie mwenza wako simu mwambie hivi:- KAMA UNANIPENDA NA UNATAKA UWE NA MIMI MILELE MWENYEZI MUNGU ATAKULETA NA NDOA YA KHERI ITAFANYIKA. KAMA SIO RISKI YANGU INSHALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE MWENYE KHERI NAWE PAMOJA NA MIMI.
Mwanaume wa kweli atayatafakari sana hayo maneno, baada ya hapo omba kwa Mola wako akufanyie wepesi pia toa sadaka kwa mnyama au wadudu(sukari kwa sisimizi au dagaa kwa paka) hakika sadaka huleta Amani ya Moyo na furaha ya nafsi.

Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
Nimependa hicho kipande cha kutoa sadaka kwa wanyama [emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]

"toa sadaka kwa mnyama au wadudu(sukari kwa sisimizi au dagaa kwa paka) hakika sadaka huleta Amani ya Moyo na furaha ya nafsi"
 
Mahari alipangiwa alipe kiasi gani?tuanzie hapo
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
 
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
nafdat dada yangu mpendwa;
Pole kwa changamoto hii.
Najua unapitia kipindi kigumu sana.
Huenda mwenzio aliiuwa hajamaanisha zaidi aliona amepata mteremko wa kupata free p.

Wanawake mnapitia magumu sana.
Nikushauri kuwa uwe jasiri, idharau aibu.
Mimi ni Mkristo kuna mstari huwa unanitia nguvu naomba kushea;

(5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;
Wafilipi 2:5

6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;
Wafilipi 2:6

7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;
Wafilipi 2:7

8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
Wafilipi 2:8

9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Wafilipi 2:9

10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Wafilipi 2:10

11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wafilipi 2:11)
Maneno hayo maana yake ni kuwa Yesu ambaye alikuwa na utukufu, kuna wakati alikubali kuaibika na hakuona kuwa ni tatizo bali aliutazama utukufu mpya ujao.
Hakukwepa aibu bali aliikabili ndipo alipoishinda aibu Mungu alimuadhimisha mno au alimpa utukufu mpya.

Dada iiabili aibu huku ukimsubiri mume wako bora kabisa.
Mungu atakupa kitu bora kabisa..tulia.

Yatunze haya maneno.
 
Dada hapo hujaelewa nini tena?
Unataka kuolewa na mtu asiyekuhitaji?
Kama umeshaona mahusiano yamevurugika na kijana hana mpango tena wa kutaka kuja kukuoa, maana yake hakuna tena ndoa. Usilazimishe sana akwambie kila sababu, vingine ni siri za moyo wake au siri za familia yake, usichimbe sana.

Nini ufanye sasa?
Jipange kutafuta mahusiano mapya na kijana mwingine, huyo sio wa kwako tena.

Note
Kama huyo kijana alishakupiga miti mara kadhaa, kuna uwezekano mkubwa sana ikawa ndio sababu ya kukuacha. Usiniulize kwa nini.
me kuna kaka mmoja alikuwaga ananificha kweli mambo yake, nikawa najiuliza huyu mtu mbona ana fichaficha vitu shida ni nini? kuja kutahamaki, kijana ana mtoto mchanga wa kike. aiseee nilikonda ndani ya siku moja. na ukiangalia mahusiano wameanza tokea muda ila kaka anaficha tu. ikabidi nijiondoe tu kwenye hayo mahusiano for the sake ya huyo kichanga.... duniani watu wana siri. yaani unaweza kubaki mdomo wazi
 
Kuna kitu nimegundua kwenye familia hasa wakati wa ndoa. Kuna wanafiki watajitokeza na kusema maneno watakayo yasema, ili ndoa isifanyike halafu wapate wacheke pembeni. Lakini wakija kwenye kikao cha posa(ndoa) hujifanya kondoo ila nafsi zao za chui. Ushauri wangu kwako mpigie mwenza wako simu mwambie hivi:- KAMA UNANIPENDA NA UNATAKA UWE NA MIMI MILELE MWENYEZI MUNGU ATAKULETA NA NDOA YA KHERI ITAFANYIKA. KAMA SIO RISKI YANGU INSHALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE MWENYE KHERI NAWE PAMOJA NA MIMI.
Mwanaume wa kweli atayatafakari sana hayo maneno, baada ya hapo omba kwa Mola wako akufanyie wepesi pia toa sadaka kwa mnyama au wadudu(sukari kwa sisimizi au dagaa kwa paka) hakika sadaka huleta Amani ya Moyo na furaha ya nafsi.

Kwioooo [emoji239][emoji239][emoji239]
kumbe ndoa ni riziki
anyway hiyo ni njia ya kuachwa pia
 
Salaam kwenu nyote.

Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.

Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.

Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja kwa takriban miaka 4. Baadae ikaonekana ni vema tufahamishe mahusiano haya ngazi ya wazazi. Kijana alikuja nyumbani kwa tararibu zote na kupangiwa mahari. Wakati wote huo mimi na kijana tuko vizuri na mawasiliano kwa hakika yalikuwa mazuri mno. Naweza kusema hakukuwa na jambo au tatizo baina yetu na mwenzangu ambalo labda lingekuwa kikwazo.

Hata hivyo, week moja kabla kuelekea siku ya mahari mwenzangu alinifahamisha kwamba wamehairisha kuja nyumbani kwetu sababu familia yake imeona gharama walizopangiwa ni kubwa. Naye alishikilia msimamo kwamba anaungana na familia yake.. Nilijitahidi sana kumweleza kwamba waje na gharama walizojiandaa nazo lakini haikuwezekana tena kwa mwenzangu. Ni kama alishaamua kusitisha jambo hili na mahusiano yote kwa ujumla na kwa hivyo sikuweza kubadili chochote kutokea hapo.

Nimejitahidi mara kadhaa kutaka kujua iwapo kuna sababu nyingine ya sababu hiyo lakin mara zote mwenzangu amekuwa akijikita katika sababu tajwa hapo juu. Hata ninapomuuliza mwenzangu juu ya nini kinachoendelea mpka wakati huu bado hanipi majibu. Kimsingi, inaonekana hakuna mahusiano tena kwa sasa.

Ninaumia kwa namna mambo yalivyoenda na yalivyohitimishwa kwa namna isiyotarajika. ona ni kama ndoto, labda nipo ndotoni lakini ni ukweli ambao watu wanapitia. Nipo katika wakati mgumu mno, ukizingatia kwamba taarifa za jambo hili ziliwaslishwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Nimekuja kwenu naomba ushauri, nahitajika kufanya nini ili niweze kuchukuliana na changamoto hii? Kuna wakati nashindwa kama binadamu naogopa kumfuru Mungu wangu. Nashindwa kusahau na namkumbuka sana kila wakati.
Itakuumiza sana kwa ssbabu ana alama moyoni mwako.Ila ukiiruhusu akuli yako ifanye kazi bila kuathiriea na kemikali za homoni ya mapenzi.Ni kwamba hakutaki.
Dawa ni moja,kubali kuwa utaumia sana,lakini with time uta heal.
Alafu maisha yataendelea.Usilazimishe mahusiano
 
Back
Top Bottom