Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Friends ladies and gentlemen...
I can confirm to you without fear of contradictions, muungwana anaandaa madini na nondo za maana sana right now. Hakuna mkuu wa taasisi muerevu, anaweza kukaa kimya katika hali hii. Hayapo duniani.
Muda wowote tu kuanzia sasa Lazima muungwana, statesman, mwamba wa kaskazini ataibuka na, ama kuvuruga na kukoroga mambo zaidi, kuchochea vita au kutuliza ghasia, malumbano, makabiliano ya vita vya maneno miongoni mwa viongozi wenzake waandamizi ndani ya chadema, get ready.
Lazima aje kusema.
Nasisitiza Lazima chairman Taifa atasema yote muda mfupi sana ujao..
Na, akiibuka na press conference yake wakati wowote kuanzia sasa, unadhani atakua upande wa nani miongoni mwa wanaochapana vita ya maneno?
Je, bado atakua na ustahimilivu na subra kama kiongozi mkuu wa chama?
Soma Pia: Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa
Unadhani nani mchokozi anaestahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA haraka zaidi ili angalau kunusuru chama kupasuka zaidi?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.