Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya kazi na Lissu yataka moyo.Namchukia sana Lissu kwa sababu ni mropokaji, mkurupukaji,Mjivuni na mtu aliyekosa utulivu wa akili na mdomo wake.hana staha
Mzee Mbowe pamoja na ukweli ya kwamba hataki wasomi kwenye chama chake hapa kwa Lissu hatathubutu kamwe kumfukuza CDM kwani nyuma ya Lissu kuna waachama ambao ni wengi na wametengwa na wafanya maamuzi toka ukanda wa kaskazini .aMBOWE anasema baada ya vikao rasmi kuketi na kutoa maamuzi ya pamoja