S Shiika Senior Member Joined Aug 29, 2024 Posts 145 Reaction score 203 Nov 14, 2024 #21 Lissu afutwe uanachama,ama aenguliwe kwenye nafasi yake. Mbona CCM imeweza kusonga mbele bila kuwa na Makamu M/kiti.
Lissu afutwe uanachama,ama aenguliwe kwenye nafasi yake. Mbona CCM imeweza kusonga mbele bila kuwa na Makamu M/kiti.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Nov 14, 2024 #22 Namchukia sana Lissu kwa sababu ni mropokaji, mkurupukaji,Mjivuni na mtu aliyekosa utulivu wa akili na mdomo wake.hana staha
Namchukia sana Lissu kwa sababu ni mropokaji, mkurupukaji,Mjivuni na mtu aliyekosa utulivu wa akili na mdomo wake.hana staha
S Shiika Senior Member Joined Aug 29, 2024 Posts 145 Reaction score 203 Nov 14, 2024 #23 Lucas Mwashambwa said: Namchukia sana Lissu kwa sababu ni mropokaji, mkurupukaji,Mjivuni na mtu aliyekosa utulivu wa akili na mdomo wake.hana staha Click to expand... Kufanya kazi na Lissu yataka moyo. Ni ana maneno na ubishi si kidogo... Busara kwake ni sifuri kabisa.
Lucas Mwashambwa said: Namchukia sana Lissu kwa sababu ni mropokaji, mkurupukaji,Mjivuni na mtu aliyekosa utulivu wa akili na mdomo wake.hana staha Click to expand... Kufanya kazi na Lissu yataka moyo. Ni ana maneno na ubishi si kidogo... Busara kwake ni sifuri kabisa.
mkuruga Senior Member Joined Sep 13, 2024 Posts 193 Reaction score 154 Nov 14, 2024 #24 MBOWE anasema baada ya vikao rasmi kuketi na kutoa maamuzi ya pamoja
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 Nov 14, 2024 #25 mkuruga said: MBOWE anasema baada ya vikao rasmi kuketi na kutoa maamuzi ya pamoja Click to expand... Mzee Mbowe pamoja na ukweli ya kwamba hataki wasomi kwenye chama chake hapa kwa Lissu hatathubutu kamwe kumfukuza CDM kwani nyuma ya Lissu kuna waachama ambao ni wengi na wametengwa na wafanya maamuzi toka ukanda wa kaskazini .a
mkuruga said: MBOWE anasema baada ya vikao rasmi kuketi na kutoa maamuzi ya pamoja Click to expand... Mzee Mbowe pamoja na ukweli ya kwamba hataki wasomi kwenye chama chake hapa kwa Lissu hatathubutu kamwe kumfukuza CDM kwani nyuma ya Lissu kuna waachama ambao ni wengi na wametengwa na wafanya maamuzi toka ukanda wa kaskazini .a