Chief Lugina
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 286
- 76
Nilikuja hapa na threat ilikuwa inasema Mimba Calculation watu walitoa details za mda wa kuzaa mara baada ya kupata mimiba. Na mwisho wa siku jibu nililolipata ni kuwa yule mwenye mimba anatakiwa kujifungua tarehe 5/01/2012 ambayo hata Doctor wake alimwambia hivyo. Lakini hadi leo hii bado hajajifungua na naona kama hana hata wasi wasi amebakia kusema tu kwani mimi ni mungu?
SWALI: Je mtu anatakiwa kuchelewa kuzaa kwa mda gani? chukulia mfano kama alitakiwa kuzaa 05/01/2012 anaweza kufika hadi tarehe ngapi?
Waiting to hear from yuo!!
SWALI: Je mtu anatakiwa kuchelewa kuzaa kwa mda gani? chukulia mfano kama alitakiwa kuzaa 05/01/2012 anaweza kufika hadi tarehe ngapi?
Waiting to hear from yuo!!