Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Hajasemavipi ametoa habari za alikokuwa?..[emoji16][emoji16]
sio vibaya kumjulia hali.lakini OLE wako uchepuke.[emoji276]bebii kwani sifai kumjulia hali mwenzetu?
makubwa.!!!Paprika sina hamu nae,aliweka picha ya wanaume wanapumuliana live bila chenga. Kila mtu aka hamaki,ukizingatia nilikuwa ina display juu ya Uzi,watu tukajaribu kupost picha zingine pengine ingetoka haikuwa hivo. Watu wakaita mods waitoe nadhani na wao iliwashinda since mchana mpaka usiku ile picha ilikuwepo,ikabidi niombe mods waufunge ule Uzi. Ukafungwa na yeye akalambwa ban nadhani ni extended ban au anasubiri kikao cha bodi ya shule ajadiliwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
iyo avatar yako nikiiona binafsi huwa nafarijika sana...
Ata mi hilo tabasamu la trey hapo linanimaliza...iyo avatar yako nikiiona binafsi huwa nafarijika sana...
Ata mi hilo tabasamu la trey hapo linanimaliza...[/QUO
Hope avatar yako imeku reflect vilivyo mkuu....🙂🙂
Kama hyo shapw nnayoiona ni yako hongera
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wapi joseeverest au ni hyohuyo
Jina lipi nimebadilisha..Tetesi kutoka wapikuna tetesi kwamba kabadili jina.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jose kaingia jf leo
Hukuona uzi wanguvipi ametoa habari za alikokuwa?..[emoji16][emoji16]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haaaaa
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Uzi haukufungwa,waliupeleka jukwaa lake JLWPaprika sina hamu nae,aliweka picha ya wanaume wanapumuliana live bila chenga. Kila mtu aka hamaki,ukizingatia nilikuwa ina display juu ya Uzi,watu tukajaribu kupost picha zingine pengine ingetoka haikuwa hivo. Watu wakaita mods waitoe nadhani na wao iliwashinda since mchana mpaka usiku ile picha ilikuwepo,ikabidi niombe mods waufunge ule Uzi. Ukafungwa na yeye akalambwa ban nadhani ni extended ban au anasubiri kikao cha bodi ya shule ajadiliwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Real??mie sipo huko..sijajua nini kiliendelea
omba mods wakuunganishe huko.una haki ya kuchangia kwenye uzi uliouanzishaReal??mie sipo huko..sijajua nini kiliendelea
sikuucheki jose..ila nimefurahi kukucheki tenaHukuona uzi wangu
Sent from my iDevice using Tapatalk