Ngoja atulize akili akirejea atakuwa na adabu sasa.Paprika sina hamu nae,aliweka picha ya wanaume wanapumuliana live bila chenga. Kila mtu aka hamaki,ukizingatia nilikuwa ina display juu ya Uzi,watu tukajaribu kupost picha zingine pengine ingetoka haikuwa hivo. Watu wakaita mods waitoe nadhani na wao iliwashinda since mchana mpaka usiku ile picha ilikuwepo,ikabidi niombe mods waufunge ule Uzi. Ukafungwa na yeye akalambwa ban nadhani ni extended ban au anasubiri kikao cha bodi ya shule ajadiliwe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app