Amefanana na rais mstaafu!!

Mzee ngoma hizo huziwezi!waachie vijana wanaojua kuzicheza!
 
Duuuu huyu mzee anatakiwa apimwe bp kwanza
 
Vazi la bibie linanikumbusha wimbo " Watoto wa nyumba zote .......... tuwalilie wazazi ...... Viwanda vyote vya nguo vitakapofungwa ...........:
 
Mh sasa hiki kizee hata kikipewa si kitakufa?Kitaweza kweli kulibeba hilo zigo?
 
Kweli mjini hakuna wazeee, ila kuna vijana wazamani, kula rumba mzee, raha jipe mwenyewe, akikupa mwenzio atakusimangaaaa!!!
 
Acha mzee asawazishe lost time za enzi zake! ukute alikuwa busy sana kabla ya kustafu hivyo anafidia
 
Dingi nimempenda kwa choice zake, ananikumbusha ule usemi ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona
 
mzee time ya ujana alikuwa busy na shule, kazi, safari,majukumu,kujenga,kusomesha,extended family,....wacha amalizie life span yake !!! tehe tehe teehh
 
'' if dem tink me a go grannie?

''seh sup'm Yutes! ''

''MaN NaH go Oldah''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…