Amefungua jf

Amefungua jf

Nipo kwenye coaster jirani niliyekaa naye amefungua jf
Haha rahaaaaa me namwangalia tu anapitia tu thread
Sijui ni nani huyu?

Sio lemutuz kweli huyo?,kama alivaa mshati mrefu mpaka magotini na pensi na chachacha basi ujue umebahatika kukutana na lemutuz.hakukupiga mZinga wa 200 ya sigara?
 
mkuu tumbua mjicho mpaka dakika ya mwisho uje na mrejesho ni nani haswa
 
Huyu ndio bikira wa kimakonde
362670.jpg
 
Back
Top Bottom