Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Ndo wapi hukuAende MCT Dodoma atapata
Dodoma kwenye ofisi zaoNdo wapi huku
aende polisi achukue lost report ikiwa taarifa sawa na zilizopo kwenye cheti husika kisha aende kwenye taasisi husika uliyompa iyo leseni then ama watampa cheti kipya or statement of results and attested proofHabari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili.
Sasa wakati anasubr siku ya oral interview ameibiwa pochi yake ikiwa na leseni yake ya kazi. Naomba msaada wenu afanyeje ili aweze kuwa eligible na interview.
Maana interview bado siku chache aende.
Nashukuru Mkuu ila sio chet cha matokeo ni leseni ya kaziaende polisi achukue lost report ikiwa taarifa sawa na zilizopo kwenye cheti husika kisha aende kwenye taasisi husika uliyompa iyo leseni then ama watampa cheti kipya or statement of results and attested proof
Inaweza ikachukua muda gani mpaka kupata hiyo leseniDodoma kwenye ofisi zao
kwa hyo ndo imepita hiyo mwaka huu unamaanishaBodi ya leseni haiwez ku swampu/ ku renew lesseni , au kumpa temporary lesin kwa matumiz ya mda mfup then afatilie lessen kamili
Pole sana kwake. Wezi ni viumbe katili sana. Atoe taarifa polisi.Habari wapendwa nipo na ndugu aliomba kazi za afya zilizotangazwa yeye ni clinical officer na alifanikiwa kuchaguliwa baada ya mtihani wa usaili.
Sasa wakati anasubr siku ya oral interview ameibiwa pochi yake ikiwa na leseni yake ya kazi. Naomba msaada wenu afanyeje ili aweze kuwa eligible na interview.
Maana interview bado siku chache aende.
Ukienda siku iyo iyo unapata chap andaa elfu50 tuInaweza ikachukua muda gani mpaka kupata hiyo leseni
Asante mkuuUkienda siku iyo iyo unapata chap andaa elfu50 tu
Mwambie na yeye aende akaibe tu hakuna namna Ugali huo hauwezi ukampita hivi hivi mtaani kugumu aiseeMaana interview bado siku chache aende.
Nilifanya hivi kwenye birth certificate nili scan na kuprint jamaa wa utumishi alinitimua kama mbwa koko na mbaya zaidi mpaka naenda kwenye usahili nilikuwa najua Ile inakuwa haina tofauti na original msimamizi ananiambia ni copy na kwakuwa cheti original kilikuwa mkoa mwingine mbali na eneo la usahili ambapo sikuweza kukipata ndani ya muda husika I was so disappointed kukosa nafasi ya kufanya interview Ile usiku ule sikuweza kulala kabisa.Pole sana kwake. Wezi ni viumbe katili sana. Atoe taarifa polisi.
Nawashauri tu muwe mnascan hizi doc na kuzisave kwenye email/ drive. Hata kama utaibiwa angalau ile copy utakuwa nayo kwa tahadhali.
Wezi wanatia hasira sana na wanarudisha nyuma maendeleo ya watu.
Mbona wapo kabisa,wanasema siku ya usaili uende na vyeti halisi.Nilifanya hivi kwenye birth certificate nili scan na kuprint jamaa wa utumishi alinitimua kama mbwa koko na mbaya zaidi mpaka naenda kwenye usahili nilikuwa najua Ile inakuwa haina tofauti na original msimamizi ananiambia ni copy na kwakuwa cheti original kilikuwa mkoa mwingine mbali na eneo la usahili ambapo sikuweza kukipata ndani ya muda husika I was so disappointed kukosa nafasi ya kufanya interview Ile usiku ule sikuweza kulala kabisa.