Ameingia tarehe 21 mwezi huu katika siku zake

Ameingia tarehe 21 mwezi huu katika siku zake

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Hi JF,
Kuna rafiki yangu ameniuliza kwamba mke wake ameanza period tarehe hiyo hapo juu, je ni kati ya tarehe hipi akikutana nae anaweza akapata mimba?

Wana mwaka mzima kwenye ndoa bila mtoto, dr. kawambia hawana tatizo wote.

Watalamu tumsaidie huyu jamaa.
 
21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,1,(2,3,4,5,6,)7,8,9..>>>
Angalia hizo tarehe zilizo ktk mabano.
 
21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,1,(2,3,4,5,6,)7,8,9..>>>
Angalia hizo tarehe zilizo ktk mabano.

Naunga mkono, jamaa inabidi akomae afanye kazi kwelikweli siku hizo zote mfululizo.. asipochomoka hapo dokta inabidi apime upya lazima kuna tatizo..

Muelekeze jamaa kua anamwaga ndani sio nje maana kama tarehe hajui isijekua hadi hili hajui.... #Kiddin !
 
mwaka mmoja tu...? mwambie ajitahidi....
 
Naunga mkono, jamaa inabidi akomae afanye kazi kwelikweli siku hizo zote mfululizo.. asipochomoka hapo dokta inabidi apime upya lazima kuna tatizo..

Muelekeze jamaa kua anamwaga ndani sio nje maana kama tarehe hajui isijekua hadi hili hajui.... #Kiddin !

teh teh teh! Umenichekesha eti nimwambie awe anamwaga ndani, atakua anajua mkuu
 
tarehe 31may - 7june kamA mzungukO wakE ni ckU 28

Yap, unahesabu siku 10 tangu mwanzo wa menstrual period. Kuanzia siku ya 11 na kuendelea kwa siku 5 mfululizo, uwezekano ni mkubwa!
 
Hi jf,
Kuna rafiki yangu ameniuliza kwamba mke wake ameanza period tarehe hiyo hapo juu, je ni kati ya tarehe ipi akikutana nae anaweza akapata mimba? Wana mwaka mzima kwenye ndoa bila mtoto, dr. kawambia hawana tatizo wote,
Watalamu tumsaidie huyu jamaa.

Mwambie ahesqbu siku 11 kuanzia tarehe hiyo hadi siku ya 18 agegede tu haswa siku ya 13 hadi 15 ndo muhimu zaidi mashauri apate vyakula vya wanga na protini kwa wingi
 
Back
Top Bottom