Ameitiwa kazi Dodoma bila mkataba, je aende?

Dom kuna ofisi nyingi za mikopo yaweza kua kweli kazi ipo na kwavile ni mshkaji wake ndiyo kamuita aende tu.

Najua pia loan officer atalipwa % kutoka kwenye kiasi cha mkopo atakachokopa mteja aliyempeleka.

Kama kuna mtu atamwambia huu msahara ni mdogo (ni kweli ni mdogo) hivyo aache kazi nataka umwambie aulize loan officer wa Platinums Credit analipwa sh ngapi.

Platinums Credit hawalipi mshahara loan officer. Na analipwa 3000 kila wiki siyo kila siku.

So atumie hapo kama sehemu ya kutengeneza CV na connection na lazima ajue maisha yatakua magumu kishenzi.
 
Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90

Hela ya kula per day ni elfu 3

Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au

Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA

Mwambie akomae tu na mambo yake anaenda kuteseka na kuacha struggle zake ambazo zitampeleka mbali
 
Mwambie aendee fastaaa.
Kitendo cha kupata mchongo, tena dodoma mbona safi tu.

Asiwaze sana mshahara, afanye kazi huenda hiyo ndio ikawa connection ya kupata mchongo mwingine.
 
Jamani graduate wa Tanzania mna dhiki, hivi kweli unashindwa fungua genge la matunda ukitulia linakulipa mpaka 20,000 kwa siku?

Kwa Andiko hili kuna kitu kimeniingia moyoni na Kuumia sana, Jamani Maisha sio ajira tu, hamtaki kujishughulisha vizuri ndo tatizo, maisha yanafanyika popote!
 
Hebu omba namba yake umpe mtaji Mkuu.

Roho kukuuma haimsaidii
 
Hebu omba namba yake umpe mtaji Mkuu.

Roho kukuuma haimsaidii

Kaomba mawazo ajaomba hela wala mtaji, hizi ndo fikra za akili mgando kuingizia watu agenda zako. Kama wewe Mwanaume huwa unaombaga wanaume wenzako hela, sio watu wote!

Mtu kaomba mawazo nimempa, we Fala unataka nimpe Pesa ambazo ajaomba? Hizi ni Tabia za Vijana wale wa Mwananyamala kwa mchina Karibu na Kanisa la Pinda!
 
Kuna watu Wana roho za kichawi
 
Mki
Jamani graduate wa Tanzania mna dhiki, hivi kweli unashindwa fungua genge la matunda ukitulia linakulipa mpaka 20,000 kwa siku?

Kwa Andiko hili kuna kitu kimeniingia moyoni na Kuumia sana, Jamani Maisha sio ajira tu, hamtaki kujishughulisha vizuri ndo tatizo, maisha yanafanyika popote!
Mkuu kumbuka genge halitoki Kwa Mungu ni mtaji
 
Back
Top Bottom