Ameitiwa kazi Dodoma bila mkataba, je aende?

Ameitiwa kazi Dodoma bila mkataba, je aende?

Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90

Hela ya kula per day ni elfu 3

Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au

Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA
Kazi gani? Au anaenda kuwa house girl?
 
Kaomba mawazo ajaomba hela wala mtaji, hizi ndo fikra za akili mgando kuingizia watu agenda zako. Kama wewe Mwanaume huwa unaombaga wanaume wenzako hela, sio watu wote!

Mtu kaomba mawazo nimempa, we Fala unataka nimpe Pesa ambazo ajaomba? Hizi ni Tabia za Vijana wale wa Mwananyamala kwa mchina Karibu na Kanisa la Pinda!
Unatukana ila haitasaidia kupindua ukweli kwamba zaidi ya roho kukuuma hauna msaada mwingine.
 
Dom kuna ofisi nyingi za mikopo yaweza kua kweli kazi ipo na kwavile ni mshkaji wake ndiyo kamuita aende tu.

Najua pia loan officer atalipwa % kutoka kwenye kiasi cha mkopo atakachokopa mteja aliyempeleka.

Kama kuna mtu atamwambia huu msahara ni mdogo (ni kweli ni mdogo) hivyo aache kazi nataka umwambie aulize loan officer wa Platinums Credit analipwa sh ngapi.

Platinums Credit hawalipi mshahara loan officer. Na analipwa 3000 kila wiki siyo kila siku.

So atumie hapo kama sehemu ya kutengeneza CV na connection na lazima ajue maisha yatakua magumu kishenzi.
Elfu 3 mkuu kwa wiki au elf 30 umemanisha.?
 
Back
Top Bottom