Ni rafiki yangu anasema Kuna mshikaji wake ametaka aende dodoma Kuna kazi ya ivi vi kampuni vya mikopo mshahara elfu 90
Hela ya kula per day ni elfu 3
Eneo la kulala lipo kwa degree holder iyo ni kazi au
Maana nauli ameambiwa atafute yeye yupo mwanza kazi ipo DODOMA
Hebu omba namba yake umpe mtaji Mkuu.Jamani graduate wa Tanzania mna dhiki, hivi kweli unashindwa fungua genge la matunda ukitulia linakulipa mpaka 20,000 kwa siku?
Kwa Andiko hili kuna kitu kimeniingia moyoni na Kuumia sana, Jamani Maisha sio ajira tu, hamtaki kujishughulisha vizuri ndo tatizo, maisha yanafanyika popote!
Hebu omba namba yake umpe mtaji Mkuu.
Roho kukuuma haimsaidii
Kuna watu Wana roho za kichawiKaomba mawazo ajaomba hela wala mtaji, hizi ndo fikra za akili mgando kuingizia watu agenda zako. Kama wewe Mwanaume huwa unaombaga wanaume wenzako hela, sio watu wote!
Mtu kaomba mawazo nimempa, we Fala unataka nimpe Pesa ambazo ajaomba? Hizi ni Tabia za Vijana wale wa Mwananyamala kwa mchina Karibu na Kanisa la Pinda!
Mkuu kumbuka genge halitoki Kwa Mungu ni mtajiJamani graduate wa Tanzania mna dhiki, hivi kweli unashindwa fungua genge la matunda ukitulia linakulipa mpaka 20,000 kwa siku?
Kwa Andiko hili kuna kitu kimeniingia moyoni na Kuumia sana, Jamani Maisha sio ajira tu, hamtaki kujishughulisha vizuri ndo tatizo, maisha yanafanyika popote!
We andaa buti kubwa kama la jeje kuswampiaKwanini mkuu?
Ni kweli mkuu, unakua unatamani hata kazi za ajabu usizoziweza, siku ukiipata hiyo kazi ndio unaona kumbe kazi si kaziIla ukiwa hauna kazi unajikuta hata akili haifanyi kazi.
Simlaumu lakini