DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
Bwashee, Upo tayari kuendelea kubinywa kiuchumi na kijamii na kitu pekee unaweza fanya ni kulia online?Don't skip your dosage today, kazi ya kuua hufanywa na Samia(the serial killer) akishirikiana na chawa wake na hivi wameshaanza kutekana very soon wataanza kuuana.
Hakuna mwenye uwezo wa kunibinya kiuchumi, I'm beyond their reach.Bwashee, Upo tayari kuendelea kubinywa kiuchumi na kijamii na kitu pekee unaweza fanya ni kulia online?
Point yako kubwa ninini hapa!Mpaka Leo hamjajua kazi ya Dua ya albadir ni Nini? Ukimuombea mtu mabaya yanakupata wewe 29 oct mkitaka mumpindue mukapundika wenyewe,mkatamani rais afe Nchimbi awe Rais ndio kafukuzwa na chama kabisa Mzee warioba kimya now sijui amelamba asali au alipigwa na kurujuani la kipemba,Lisu na kelele zote ashaelekea kibra huwezi kupewa mema ukalipa mabaya afu Mungu akuangalie tu Mungu sio mjomba enu.
Hivi walitaka kumpindua au kuzuia uchaguzi? Kumpindua watampindua tu.Mpaka Leo hamjajua kazi ya Dua ya albadir ni Nini? Ukimuombea mtu mabaya yanakupata wewe 29 oct mkitaka mumpindue mukapundika wenyewe,mkatamani rais afe Nchimbi awe Rais ndio kafukuzwa na chama kabisa Mzee warioba kimya now sijui amelamba asali au alipigwa na kurujuani la kipemba,Lisu na kelele zote ashaelekea kibra huwezi kupewa mema ukalipa mabaya afu Mungu akuangalie tu Mungu sio mjomba enu.
Ni ushirikina uliohalalishwa.albadir ni Nini
Asa uchaguzi unazuiliwa na vibaka wewe *****.Hivi walitaka kumpindua au kuzuia uchaguzi? Kumpindua watampindua tu.
Subirini 2030 ndio kikubwa tofauti na hapo ni kujichimbia kaburi wenyewe.Point yako kubwa ninini hapa!
Sawa Captain Tesha sie tupo pale tunawasubiri Inshallah. Ila atutaki kusikia milio tu mala Fulani atumuoni mala masela Amna fair play ukitoka aga kabisa.Hivi walitaka kumpindua au kuzuia uchaguzi? Kumpindua watampindua tu.
Ni Dua mujarabu kwa aliyefanyiwa ubaya basi kisomo hikiNi ushirikina uliohalalishwa.
Ni ushirikina uliohalalishwa.
Ni Dua Mujarab kwa wanakukusudia mabaya hii inarudisha ubaya ukimuombea Samia afe unaanza wewe na atashiriki mazishi yako.Ni ushirikina uliohalalishwa.
Sasa unawaambia CHADEMA, mimi inanihusu kitu gani?Kazi kutiana ndimu tu KUMAMAZENU CHADEMA MACHOKO.
🤓Mshindwa ktk Jina la Yesu
NEVER HAPPENED AGAINHapana nijibu sasa tafadhali.. It is NOW or NEVER
Sasa unawaambia CHADEMA, mimi inanihusu kitu gani?
Na hao "MACHOKO" wanao uhusiano gani na CHADEMA.
Nikikwambia wewe ni chizi aliyeleweshwa na bangi za utotoni utakataa?
This time wataisingizia ebola baada ya uviko March 2021December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..
Wewe usiyekuwa miongoni mwa hao "machoko", mbona unajionyesha hali yako kuwa duni zaidi?Inakuhusu ni machoko wenzako.
Yaani wenyewe wala hawakupi habari, Ila wewe sasa!Subirini 2030 ndio kikubwa tofauti na hapo ni kujichimbia kaburi wenyewe.