Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
Tunatamani iwe hivyo,lakini huoni kuwa ungetupa nyama kidoogo,tungekuwa na kila sababu ya kuwa optimistic.December hii tutakuwa na kiongozi mpya wa kitaifa. Tunza huu ujumbe..