Hajatoa chochote: kwakuwa hatua zote kafata na kukamilisha kwanini asubiri miezi 3 ndio jina libadilike?Amekamilisha ule usemi wa mkono tupu haulambwi au anakodoa macho tu...??
Hajatoa chochote: kwakuwa hatua zote kafata na kukamilisha kwanini asubiri miezi 3 ndio jina libadilike?
😁😁 mkoa x mfano wewe unaitwa Ironbutterfly lakini jina lako liandikwe irenbutterfly umefata mchakato wote kuonesha jina lako limekosewa herufi na umelipia na wameconfirm kwa vidole vyako kabisa kuwa ni wewe sasa kubadili irenbutterfly kuwa ironbutterfly ndio ichukue miezi 3. ?Uko mkoa gani?
Kama jirani na Burundi,Rwanda,Congo
Sio raia🤣😂
Kuna watu wa pembezoni siyo raia.😁😁 mkoa x mfano wewe unaitwa Ironbutterfly lakini jina lako liandikwe irenbutterfly umefata mchakato wote kuonesha jina lako limekosewa herufi na umelipia na wameconfirm kwa vidole vyako kabisa kuwa ni wewe sasa kubadili irenbutterfly kuwa ironbutterfly ndio ichukue miezi 3. ?
Kama uhamiaji wamejiridhishaKuna watu wa pembezoni siyo raia
So wanatumia siku 90 kujidhihirisha Kama ni raia au damu ya kagame[emoji1787]
Jiongeze[emoji108]
Hatutaki interahamwe tized[emoji108]
Kwanini anataka kubadili jina tuanzie hapo! Je! Alikuwa muhalifu anataka kujificha?USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system
Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo?
Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni yeye hata fingerprint zimedhirisha kwanini asubiri miezi 3 ndio jina libadilike?
Mbona jamii forum na WhatsApp unaweza post na kuedit post yako Wala haitaji kusubiri Miezi 3 kwanini iwe NIDA ? na mhusika ni yeye na hatua zote kafuata?
Hapana anabadili herufi moja katika Jina ili iendane na taarifa zake za shule mfano badala ya juma imeandikwa jumahKwanini anataka kubadili jina tuanzie hapo! Je! Alikuwa muhalifu anataka kujificha?
Lkn ni too primitive miezi 3.🤒Kubadilisha jina ni tofauti na mtu anaeomba kitambulisho kwa mara ya kwanza kwa majina yake halisi. Unapibadili jina lazima tufanye thorough investigation kujiridhisha je hujafanya uhalifu wowote kwa jina unalolikana? Kwa nini ulikane? Unataka kuficha nini? Process ni ndefu sana kiufupi.
Ingekuwa ni majina yote hapo sawa lakini herufi moja.. yaani Kama imeandikwa beba unataka iwe baba na vitambulisho vyake vyote anavyo vya kutoka anasoma Hadi kuzaliwa kimendikwa baba, ila NIDA tu wamekosea wameandika beba , ndio ichukue miezi 3? As if bado tunatumia mfumo wa kizamani wa analogia wakati tupo digital.Kubadilisha jina ni tofauti na mtu anaeomba kitambulisho kwa mara ya kwanza kwa majina yake halisi. Unapibadili jina lazima tufanye thorough investigation kujiridhisha je hujafanya uhalifu wowote kwa jina unalolikana? Kwa nini ulikane? Unataka kuficha nini? Process ni ndefu sana kiufupi.
Hata mimi nilifikiri miezi 3 mingi Sana au Kuna namna ya kuzipunguza miezi kutoka miezi 3 badi 24 hours.Mkono mtupu haulambwi sheikh wangu
Kwani wwe una haraka gani,umeambiwa na mamlaka subiri miezi mitatu subiri, kama kuna sehemu taarifa zako zinatakiwa waombe barua endelea na mambo yako hadi hiyo miezi mitatu au watakapokwita ghafla kwa ajili ya mahojiano zaidi kuhusu taarifa zako!!USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system
Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo?
Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni yeye hata fingerprint zimedhirisha kwanini asubiri miezi 3 ndio jina libadilike?
Mbona jamii forum na WhatsApp unaweza post na kuedit post yako Wala haitaji kusubiri Miezi 3 kwanini iwe NIDA ? na mhusika ni yeye na hatua zote kafuata?
Hili swali lako umewauuliza NIDA!!? Na wao wanasemaje!!??Kama uhamiaji wamejiridhisha
Hakuna mamlaka nyingine kisheria yenye jukumi hilo.
Hakuna Cha siku 90 kisheria, au utuambie hayo mamlaka NIDA wanayatoa wapi?