USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system
Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo?
Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni yeye hata fingerprint zimedhirisha kwanini asubiri miezi 3 ndio jina libadilike?
Mbona jamii forum na WhatsApp unaweza post na kuedit post yako Wala haitaji kusubiri Miezi 3 kwanini iwe NIDA ? na mhusika ni yeye na hatua zote kafuata?