jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Hakuna tatizo hapo,maana ni moja tu!!Hapana anabadili herufi moja katika Jina ili iendane na taarifa zake za shule mfano badala ya juma imeandikwa jumah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo hapo,maana ni moja tu!!Hapana anabadili herufi moja katika Jina ili iendane na taarifa zake za shule mfano badala ya juma imeandikwa jumah
Kwani hili Jina unaharaka nalo,unataka kwenda nalo wapi!??Lkn ni too primitive miezi 3.[emoji855]
Na wakiona una haraka nacho lazima wakuseti kwenye 18 zao! Na lazima ujae! Dawa kuwasusia hadi wakutafute wenyewe!!Mkono mtupu
Ova
NdiooNdo haohao NIDA wanaotoa vitambulisho vya uraia na vina-expiry!