Amekasirika. Kisa...nimemuuliza "wataondoka lini"

ataongea tu huyo mwanamama ,zamani nilikuwa na vitabia vya kununa nuna mme anajaribu kunisemesha nimenuna wee alivyogundua hivo kila nikinuna na yeye anakaa kimya wala hanisemeshi heheh mpaka nikajifunza mwenyewe ,ndoa zina mambo sana,
wala hukukosea kuuliza kwa vile wewe ndo mtoa pesa,
Next time uwe unamwambia mama watoto anawauliza ndugu zake na kukupa majibu,
Pole ndugu ila hayo ni mambo madogo madogo yaliyoko kwenye ndoa
 
Huu ushauri wako mkuu ni balaa
Yaani aachane na stress za home akatafute tena nyingine mtaani huko

Jamaa is a guy boy he needs to show his wifey that he can also act naughty n mean! halafu atapata heshima wife wake hatamsumbua tena na hao ndugu wanaoingia bila taarifa hawatakuja coz wife atajua jamaa means business. Mbona mimi nyumbani sipati wageni kama hao ingawa mambo hayo nimemuachia mama watoto mwenyewe ana handle coz anajua msimamo wetu kama familia.
 
jamani maushauri mengine kha!et akatafute nyumba ndogo? hapo si ndo atazusha balaa la kufa m2? mwaego we vumilia weka mambo sawa mi nadhani atakuelewa tu bila shaka.
 

Hebu niPM kwanza unipe eksipiriensi.
 

Yaani bora angenuna, akatae salamu, alalamike kuliko kukunyima "haki".
 
Pole kak nimekuelew, nia yako haikuw ya kuwafukuz wakwe zako, jaribu kumtafutia pose wife ili umweleweshe, atakuelewa kak, huyo ni mke wako, pia kumbuk mwanamke ni kiumbe zaifu, ila kuwa mwali mzur.
 
Pole sana Mkuu, inawezekana ulimwuuliza swali kavu bila kutanguliza maelezo ya kuhusu kuwaandalia nauli. Hivyo, maelezo ya kuandaa nauli yakaja baadaye wakati Mother house akiwa ameishaimbia akili yake kuwa huwapendi ndugu zake. Anyway, mambo ya ndoa lazima mmoja ajifanye mdogo ili maisha yaende, kama mkivimba wote hata wageni watagundua kuwa hamuwataki, na itakuwa mbaya kama mrs wako atawaeleza kuwa umeuliza swali hilo. Wewe jifanye mjinga, wageni waondoke ndipo umkalishe chini na kumwambia ukweli kuwa hukuwa na nia mbaya, mwezi wenyewe Januari .......shule za English Medium zinafunguliwa!!!! Hatahivyo, akiendelea kuvimba baada ya maelezo hayo, inabidi upige fimbo chini, maana sasa takuwa hana maana huyo, unajinyima kwa ajili ya maendeleo ya familia halafu yeye analeta ufisadi kwenye matumizi ya familia. Wakati mwingine Democrasia ikishindika, tumia udikteta.
 

Yaani nimuache..!
 
Mkuu ukifanya hivyo, upande wa pili watakuchukia.

kuna bro wangu aliweka limitation ndugu kwenda kwake. Ni wanafunzi wakati wa likizo, wagonjwa kama yupo kimatibabu na wazee ambao ni baba na mama. Wengine wote hakuna kwenda kwake bila sababu maalumu
 
Pole sana, mvumilie tu na tafuta wasaa uzungumze nae,ataelewa tu....wanawake wengine waga tuna visa sana...pengine hata ana matatizo yake mengine basi ukichanganya na hili unabeba lawama zote wewe....usiende nyumba ndogo,huko ni laana sasa waenda tafuta!
 
Pole ndugu yangu najua hata ile huduma yetu nyeti hapo itakuwa imesitishwa kwa kipindi chote cha hasira kali za mtani wako wa jadi.
 
kuna bro wangu aliweka limitation ndugu kwenda kwake. Ni wanafunzi wakati wa likizo, wagonjwa kama yupo kimatibabu na wazee ambao ni baba na mama. Wengine wote hakuna kwenda kwake bila sababu maalumu

Dah....!
 


Nimekusoma michele, lakini.....
 

Nimekupata mkuu,
lakini tukichukua kiuhalisia, ukiuliza hayo maswali....ndoa nyingi hasa za kitanzania zingefikia hata hatua ya kuvunjika.
Hatuko Open kiasi hicho.
Na hapo ndipo matatizo yanapoanzia,
mtu anaogopa lawama na matokeo yake ndio kuukaribisha umaskini....
 

Hahahaaaa the Bossy umenichekesha lakini huu ndo ukweli halisi kwa maisha ya sasa!
 

Kumbe haya matatizo yapo kwa wengi? Sasa FL1 kwa kuwa uliamua kuacha hivi vitabia naomba unipe uzoefu wako kidogo.
  • Hivi ni kwa nini hasa huwa mnanuna wakati mwingine kwa muda mrefu?
  • Ilikuchukua muda gani kuelewa kuwa kununa hakusaidii mpaka ukaamua kuacha?
  • Hivi unaponuna na kumnyima mwenzako ile huduma nyeti huwa unajisikiaje nafsini mwako - satisfaction/guilty?
  • Hivi ina maana mnapokuwa mmenuna huwa hampati hamu ya ile shughuli nyeti kweli?
  • Ni nini au ni nani alikushauri/shawishi kuachana na tabia hii ambayo kwa kweli inatukera sana sisi wanaume?
 
Huu ushauri wako mkuu ni balaa
Yaani aachane na stress za home akatafute tena nyingine mtaani huko

labda hiyo nyumba ndogo ni mwanaume lakini kama ni mwanamke stress ni pale pale maana na yeye nyumba mdogo usipo mpa mshiko kununa kwa mbele kazi mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…