FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
ataongea tu huyo mwanamama ,zamani nilikuwa na vitabia vya kununa nuna mme anajaribu kunisemesha nimenuna wee alivyogundua hivo kila nikinuna na yeye anakaa kimya wala hanisemeshi heheh mpaka nikajifunza mwenyewe ,ndoa zina mambo sana,
wala hukukosea kuuliza kwa vile wewe ndo mtoa pesa,
Next time uwe unamwambia mama watoto anawauliza ndugu zake na kukupa majibu,
Pole ndugu ila hayo ni mambo madogo madogo yaliyoko kwenye ndoa
wala hukukosea kuuliza kwa vile wewe ndo mtoa pesa,
Next time uwe unamwambia mama watoto anawauliza ndugu zake na kukupa majibu,
Pole ndugu ila hayo ni mambo madogo madogo yaliyoko kwenye ndoa