Watu tunawambia acheni ushabiki ,nendeni vijijini mkatafute kura,,,,acheni maneno ya shombo na vitisho,,,,mtawawini watu,,, hakuna mtu atataka kutawaliwa na mtu wa visasi na aliejaa shari........
Kesho hapa kwetu mama atapika pilau,alafu mjomba na shangazi watakuja kesho mjini kufurahia ushindi wa Magufuli. Bibi nae atakuja ataniletea ukwaju na machenza.
Yani itakua rahaaaaaa sana.