Amekatwa tenaaaaaaaaa teh teh teh!!!

Amekatwa tenaaaaaaaaa teh teh teh!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Huruma aise.
Kwi!kwi!
 

Attachments

  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images0PP9TXVK.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_images0PP9TXVK.jpg
    3.4 KB · Views: 1,249
  • C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesA6OBJ37D.jpg
    C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_imagesA6OBJ37D.jpg
    2 KB · Views: 1,234
Watu tunawambia acheni ushabiki ,nendeni vijijini mkatafute kura,,,,acheni maneno ya shombo na vitisho,,,,mtawawini watu,,, hakuna mtu atataka kutawaliwa na mtu wa visasi na aliejaa shari........
 
Mnafurahi kama vile magufuli mjomba wenu..akiwa rais mzuri tuta benefit wote..akiwa rais mbaya tutaisoma namba wote.habari ndo hiyo
 
Mnafurahi kama vile magufuli mjomba wenu..akiwa rais mzuri tuta benefit wote..akiwa rais mbaya tutaisoma namba wote.habari ndo hiyo

Sasa mbona mlikua mnatupopoa mawe na vinguo vyetu vya njano na kijani?
 
Wewe acha tu,tulitukanwa matusi yote,majina yote ila leo who laughs last, laughs longest

Kesho hapa kwetu mama atapika pilau,alafu mjomba na shangazi watakuja kesho mjini kufurahia ushindi wa Magufuli. Bibi nae atakuja ataniletea ukwaju na machenza.
Yani itakua rahaaaaaa sana.
 
Back
Top Bottom