Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa. Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa. Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia"

Kuwa kama ulikuwa unafanya huo mchezo ni ngumu kuzaa kwa hali ya kawaida. Isitoshe jambo la kusikitisha mimba yake ya kwanza alijifungua kwa upasuaji. Anaomba ushauri wa njia nzuri ya kufanya ili kuepuka madhara yanayosemwa.
 
Wakat mnaanza hayo madhara hamkuyajua? Endeleeni na upopo bawa
 
Jamani ndiyo maana majira ya mvua hayaeleweki kumbe kwenye kuta nne kuna mambo yanaendelea.
 
Tulianza kama mchezo, kuitana popobawa na hatimae tigo ikaliwa.

Huo mchezo umeendelea na hatima ameona ni muda wa kuzaa sasa.

Changamoto iliyopo ni madhara "tunayo sikia sikia"
Kuwa kama ulikuwa unafanya huo mchezo ni ngumu kuzaa kwa hali ya kawaida.

Isitoshe jambo la kusikitisha mimba yake ya kwanza alijifungua kwa upasuaji.

Anaomba ushauri wa njia nzuri ya kufanya ili kuepuka madhara yanayosemwa.
Mkumbushe tarehe ya siku mloanza kuitana popobawa. Akikumbuka anza kucheka
 
Ushauri wa kitaalamu:

1. Awe mtu wa mazoezi laini na hasa ya kutembea kwa siku 100 hadi 200 tangu alivyoacha huo mchezo.

2. Ajitahidi kula kawaida na hasa milo yenye fibers huku akitumia zaidi Maji na Juisi za kutengeneza.

3. Asibebe Mimba katika kipindi hiki cha mwanzo wa miezi 3 hadi 4 baada ya kuacha.

4. Aende Clinic ya Mama, Baba na Mtoto au akamuone daktari na kumueleza ukweli wote ili asaidiwe kwa kupata ushauri na tiba sahihi ya tatizo lake. Hospitalini hakuna Aibu.

5. Akae mbali na huyo BAASHA wake Mshenzz

6. Asiwe anajizuia haja muda mrefu.

7. Atembelee na kukaa sehemu za baridi kama anahitaji kuharakisha mapendekezo hayo ya uponaji hapo juu.

Naomba kuwasilisha.
 
Hawa ndio baadhi ya vijana wa Tanzania na uwezo wao wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom