Ushauri wa kitaalamu:
1. Awe mtu wa mazoezi laini na hasa ya kutembea kwa siku 100 hadi 200 tangu alivyoacha huo mchezo.
2. Ajitahidi kula kawaida na hasa milo yenye fibers huku akitumia zaidi Maji na Juisi za kutengeneza.
3. Asibebe Mimba katika kipindi hiki cha mwanzo wa miezi 3 hadi 4 baada ya kuacha.
4. Aende Clinic ya Mama, Baba na Mtoto au akamuone daktari na kumueleza ukweli wote ili asaidiwe kwa kupata ushauri na tiba sahihi ya tatizo lake. Hospitalini hakuna Aibu.
5. Akae mbali na huyo BAASHA wake Mshenzz
6. Asiwe anajizuia haja muda mrefu.
7. Atembelee na kukaa sehemu za baridi kama anahitaji kuharakisha mapendekezo hayo ya uponaji hapo juu.
Naomba kuwasilisha.