Amekuwa akifanya mapenzi kinyume na maumbile, sasa anataka kubeba mimba

Wa Tanzania kwa unafiki 100%, humu wachangiaji kama malaika, mshukuru nyumba zina ukuta tunastirika tu mambo ya chumbani yanabaki chumbani. Na ukiona mtu analaani kwa nguvu zote ujuwe mhhhh. Haya mambo yapo sana tu hakuna msafi hapa cha ajabu watu wanatoa ushauri kama wana uzoefu mtu anayetoa ushauri anatoa kwa uzoefu wake. Tuache kujifanya malaika sote wachafu tu.
 
Namba 4 kwa madaktari tulionao sasa nao watamuomba labda akute Wa kike
 
Nashukuru sana mkuu nimepata sehemu ya kuanzia
 
Njoo kwenye hili group la wsp halafu ukishaingia uliza swali lako inbox utapata msaada

 
Endeleeni kutinduana ..kuhusu mtoto mutaongeza mabalaa tu duniani
 
Endeleeni kutinduana ..kuhusu mtoto mutaongeza mabalaa tu duniani
 
Hahahahaha eti wataongeza mabalaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani wakileta mtoto duniani na wanavotinduana mitaro uyo mtoto si atakuwa balaa maradufu kuliko wazazi hao,?! Maana imeandikwa "kwa maana nawapatiliza Wana maovu ya baba zao toka kizazi Cha Tatu na Cha nne Cha wanichukiao"
 
Alafu ukute Apo Ni mume na mke ndo walikua wanafanya hio michezo Sasa wanaomba ushauri Sasa Kila Dhambi lazima ulipe Garama zake Sasa ndo Kama hizo na saa nyingine Ni Mauti kabisa.
 
Mwabie apasuliwe tena asije kumnyea mtoto bure na kumuunguza kwa uzembe wake wa kupenda kujambia kijiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…