Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Niligombana na huyu mwanamke na akawa amechukia mimi nikawa nabembeleza turudiane akawa analeta dharau.
Sasa leo akaleta hasira kuwa kila mara unamsifia rafiki yangu kuwa ametulia basi nenda kamchukue.
Nikamwambia naenda. Ghafla nimkarushia namba ya rafiki yake. Sasa hivi anaongea na kwikwi mpaka huruma.