Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
0600000000000000Nipe no za huyo demu ulie muacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0600000000000000Nipe no za huyo demu ulie muacha.
Don't test this at home.Good
Mwandishi ni lafaMoral of the story
Hujui mapendo huwa yana expireHuyo rafiki yake unampenda au ni njia ya wewe kupunguza maumivu yako? Ukweli ni kwamba unampenda uyo demu wako wacha ashikilie hapo hapo
Haaaa haaa.Kuna wanaume ni wana utoto mpaka huruma.
Punguza makasirikoKuna wanaume ni wana utoto mpaka huruma.
Wamekufanyaje mbona unatusimanga sanaWanaume wa sikuhiz [emoji23][emoji23][emoji23]
tusiwape watoto simu wakiwa shule.Moral of the story
Hata sijamsimanga mtu mbonaWamekufanyaje mbona unatusimanga sana
Kikawaida kila upande una madhaifuyake mengi na huwa mnatukwaza sana pia lkn nyuz zenu ni too much ni wanawake wanawake wanawake mtafanya tuanze na kujiona wadhaifu kwenye ulimwengu wa mahusiano ni too muchWamekufanyaje mbona unatusimanga sana
Kweli umeamua asee! 🤣🤣🤣Naomba ujiheshimu. Haya ni maamuzi yangu. Na huyu rafiki yake namchukua.