Kuisifu CCM ndio uzalendo? We jamaa unajidharirisha sana na hupati hata uDC unatumika kama toilet paper tu.Huo ndio uzalendo
Mkuu kwani kaandika wapi anatafuta UDC? Kwani siku hizi uteuzi unafanyikia mitandaoni?Kuisifu CCM ndio uzalendo?
We jamaa unajidharirisha sana na hupati hata uDC unatumika kama toilet paper tu.
Sera za uchumi za ccm ndio zimemfanya awe alivyo mkuu ungemuona kwa macho yako hasa soli za viatu ungemuonea huruma hadizev kuwa graduate.MkuuvSasa kipi cha kushangaza hapa? Wewe unadhani akiichukia CCM ndo atapata ajira?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ulitaka aandamane au?Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Huyo best yako hana la maana zaidi ya kuimba mapambio ya Kuisifu CCM kila kuitwapo leo. Hana la maana zaidi ya hilo.Mkuu kwani kaandika wapi anatafuta UDC? Kwani siku hizi uteuzi unafanyikia mitandaoni?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza chuo Jordan morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwasababu imejenga fyover ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama penseli.
Hawa ndio wanaotegemewa na CCM plus wale wababu na wabibi wanaovaa kofia Flana na kitambaa cha kichwani.
Tusisahau ofisi nyingi za CCM Zina vilabu vya pombe za kienyeji Kama sehemu ya mapato ya chama.
Thread closedMkuu,
Unataka kufikisha ujumbe gani kwa hadhira?
Mantiki yako ni ipi hasa?
Kwamba kwa Maajabu yaliyofanywa na Awamu
ya Tano kuna msomi ana mahaba na Chama Cha
Mapinduzi?!
Kwamba CCM ni wanauza pombe kama chanzo chao cha Mapato?!
Mkuu,
Naomba nikupe darasa kidogo( elimu hii huilipii, Nakupa bure)
Chama Cha Mapinduzi kinaundwa na nguzo Nne.
1)CCM ina Wanachama
2)CCM ina Wakereketwa
3)CCM ina Washabiki
4)CCM ina Wapenzi
Hivyo usishangae kumwona mtu msomi anaisifia CCM kwenye kadamnasi, au kuvaa hizo CCM Gear ( kofia na skafu) Ni dhahiri kabisa yuko Kwenye kundi moja wapo hapo juu.
CCM wana maeneo ambayo wanayapangisha kwa raia, ukishapanga kwenye eneo la CCM na ukamalizana nao, CCM hawakuchagulii Biashara gani ya kufanya mahali hapo, uko huru kufanya biashara yeyote uitakayo wewe mhuska.
Mkuu, Inaonekana ni mfwatiliaji mzuri sana wa mambo yanayofanyika kwenye maeneo ya CCM Nchini, kwa mantiki hiyo ndiyo maana maeneo mengi ya CCM kuna pub na majiko ya kitimoto siyo kwamba ndiyo mapato ya CHAMA. USIPOTOSHE!
Naamini hapo ulipo unaikubali CCM kiana( in Chidi BenzVoice)
Shukrani sana
Kuichukia CCM ndio ujanja?Kuisifu CCM ndio uzalendo?
We jamaa unajidharirisha sana na hupati hata uDC unatumika kama toilet paper tu.
Eeenh, hili ndilo darasa?Mkuu,