Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:hatari:njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote,
Hilo umetudanganya,kuketi pembeni yanini huku heartbeat zinasoma 170/120?...............Hacha Hizo.
unatakiwa ume jasiri usubiri uone atafanyaje baada ya kukudanganya na ghafla akashtukia uko jirani na yeye, kwanini umuulize wakati tayari keshakudanganya ni wakati wake wa kujieleleza:hatari:njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote, Hilo umetudanganya,kuketi pembeni yanini huku heartbeat zinasoma 170/120?...............Hacha Hizo.
bana kwenye strategic angle then mpigie call muulize yuko wapi, yuko na nani na anafanya nini... cheki majibu na reaction yake; kama kadanganya, mzukie umuumbue
Nazimia,wanaita ambulensi.