Amempata mwenzake aliepewa na bwana!!aliiliiii liii hai hai

Amempata mwenzake aliepewa na bwana!!aliiliiii liii hai hai

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mnakumbuka huu wimbo
amempata mwenzake aliepewa na bwana
nawatakia wote wanaoenda kupeana pete za kuwa mume na mke maisha mema na ya faraja na furaha ndan yenu..kumbuken mungu ndie mweza yote..binadamu awezi kurekebisha ndoa yako...nawatakia uzao wa uaminifu asiwepo mke mwenye kuzaa mtoto wa houseboy ama xboyfriend....ndoa yenu ikawe ya yes yes no no..kusiwepo na kutokelewana especially kwenye upande wa imf mshaara wako uwe wakwe wake uwe wenu

mungu awabariki
 
Kwa wapenzi wa azania front hapo unakuta watu pemben wanatupa maua ya rangi mbali mbali hujui kuna xgfriend wa mumeo anakutupia zigo..kwa kweli mungu asimame na ndoa zenu
 
unaonaje ungeweka wimbo wenyewe... hayo maneno sikumbuki Pd.. au inawezekana siufahamu...
 
Back
Top Bottom