Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Samahani
Nimekuwa buzy naona kama napitwa

Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan?

Mbona kila mahali wanakataliwa?

Nini mbaya nyiee?

Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaa

Mwanamke anajielewa vizuri pia mwenye heshiima hawezi weka marangi marangi kichwNi wwakati akiwa anaenda kuonana na wazaz wa mchumba.

Ina prove ana dharau, hana adabu pia mhuni.
 
Rangi kichwani ni fashion pia
The girl is into fashion
Acheni ushamba watz
 
Fashion inakuwa na particular definition. Hii fashion, kwa jamii yetu, ina-define ukubuhu, ugumegume.
aiseee kumbe, mimi pia nilikuwa na bleach niliitoa baada ya mtoto wangu kuniambia mama mbona nywele zako hazifanani na za watu wengine, shuleni wameniuliza. sikumjibu nikaenda kunyoa nikatia black, sasa na nwyele zangu fupi na black
 
Ulifanya vema.
 
bleach kwa jamii yetu Tz, inakutafsiri kama mwanamke malay*,kah*ba ulieshindikana. pia kutoboa kila sikio matundu mawili.
 
Back
Top Bottom