Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Rangi kichwani ni fashion piaMwanamke anajielewa vizuri pia mwenye heshiima hawezi weka marangi marangi kichwNi wwakati akiwa anaenda kuonana na wazaz wa mchumba.
Ina prove ana dharau, hana adabu pia mhuni.
Rangi kichwani ni fashion pia
The girl is into fashion
Acheni ushamba watz
Fashion inakuwa na particular definition. Hii fashion, kwa jamii yetu, ina-define ukubuhu, ugumegume.Rangi kichwani ni fashion pia
The girl is into fashion
Acheni ushamba watz
Umalaya sio rangi kichwani au baibui mwiliniSawa umalaya fanyeni kwenu
Kwa wazazi kuweni na simple n preseantable.
Sio kweliFashion inakuwa na particular definition. Hii fashion, kwa jamii yetu, ina-define ukubuhu, ugumegume.
HaiyaaaNa huyo mvulana aweke bleach. Wazazi wake watamkubali mchumba
Fashion inakuwa na particular definition. Hii fashion, kwa jamii yetu, ina-define ukubuhu, ugumegume.
Sawa umalaya fanyeni kwenu
Kwa wazazi kuweni na simple n preseantable.
aiseee kumbe, mimi pia nilikuwa na bleach niliitoa baada ya mtoto wangu kuniambia mama mbona nywele zako hazifanani na za watu wengine, shuleni wameniuliza. sikumjibu nikaenda kunyoa nikatia black, sasa na nwyele zangu fupi na blackFashion inakuwa na particular definition. Hii fashion, kwa jamii yetu, ina-define ukubuhu, ugumegume.
Ulifanya vema.aiseee kumbe, mimi pia nilikuwa na bleach niliitoa baada ya mtoto wangu kuniambia mama mbona nywele zako hazifanani na za watu wengine, shuleni wameniuliza. sikumjibu nikaenda kunyoa nikatia black, sasa na nwyele zangu fupi na black
mavazi na muonekana wa mtu huelezea tabia ya mtu.
aiseee kumbe, mimi pia nilikuwa na bleach niliitoa baada ya mtoto wangu kuniambia mama mbona nywele zako hazifanani na za watu wengine, shuleni wameniuliza. sikumjibu nikaenda kunyoa nikatia black, sasa na nwyele zangu fupi na black
Ulifanya vema.
bleach kwa jamii yetu Tz, inakutafsiri kama mwanamke malay*,kah*ba ulieshindikana. pia kutoboa kila sikio matundu mawili.