Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,028 Nov 25, 2012 #1 Mtoto mdogo mwenye umri wa miez 5 amefanyiwa tohara kwa kutolewa ngozi yote ya juu ya uume wake wenye labda inch 1 na kushonywa kwa chini kabisa,Je hivyo ndivyo jins watoto wanavyotahiriwa,Na ni sahihi? Naombeni mnielimishe
Mtoto mdogo mwenye umri wa miez 5 amefanyiwa tohara kwa kutolewa ngozi yote ya juu ya uume wake wenye labda inch 1 na kushonywa kwa chini kabisa,Je hivyo ndivyo jins watoto wanavyotahiriwa,Na ni sahihi? Naombeni mnielimishe