Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Mtoto mdogo mwenye umri wa miez 5 amefanyiwa tohara kwa kutolewa ngozi yote ya juu ya uume wake wenye labda inch 1 na kushonywa kwa chini kabisa,Je hivyo ndivyo jins watoto wanavyotahiriwa,Na ni sahihi? Naombeni mnielimishe