Ameng'oa Jino, lakini wiki ya pili saivi kidonda hakijapoa

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Kuna mdogo wangu ameng'oa Jino, lakini wiki ya pili saivi kidonda hakijapoa. amesahatumia dozi mbili za antibiotic ambazo kapewa spiltali lakini bado hapana dalili zozote. Spitali naona ndio washachmka.
Msaada wakuu chakufya ili nimsaidie.
 
Thanks Kiswahili
Spitali=Hospitali
Nenda hiyo hospitali au hospitali nyingine kwa wataalam wa meno
 
Kuna mdogo wangu ameng'oa Jino, lakini wiki ya pili saivi kidonda hakijapoa. amesahatumia dozi mbili za antibiotic ambazo kapewa spiltali lakini bado hapana dalili zozote. Spitali naona ndio washachmka.
Msaada wakuu chakufya ili nimsaidie.
Wahi hospitali Kama aling'oa hospitali ya kijijini nenda ya mkoa Kama aling'oa mkoa peleka rufaa.SIO HABARI YA MCHEZOMCHEZO
 
Mhhh watakuwa wamembakizia kipisi cha jino huko awahi hospital la sivyo itamtesa
 
Nenda kwenye hospitali ya meno yenye Orthopantomography ili wapige picha ya taya na meno ili wajue tatizo ni nini mkuu. Usilichukulie kiutani. Wiki 2 ni muda mrefu.Mungu aepushe isiwe tatizo kubwa.
 
Nimeng'oa meno 6 mpaka sasa sijawahi kuwa na maumivu yoyote wala sijawahi kutumia antibiotics sasa wewe wiki mbili bado unatafuta ushauri huku wahini hospital mkuu tena hospitali yenye specialist wa meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…