Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahi hospitali Kama aling'oa hospitali ya kijijini nenda ya mkoa Kama aling'oa mkoa peleka rufaa.SIO HABARI YA MCHEZOMCHEZOKuna mdogo wangu ameng'oa Jino, lakini wiki ya pili saivi kidonda hakijapoa. amesahatumia dozi mbili za antibiotic ambazo kapewa spiltali lakini bado hapana dalili zozote. Spitali naona ndio washachmka.
Msaada wakuu chakufya ili nimsaidie.
Aende kwenye SPITALI kubwaKuna mdogo wangu ameng'oa Jino, lakini wiki ya pili saivi kidonda hakijapoa. amesahatumia dozi mbili za antibiotic ambazo kapewa spiltali lakini bado hapana dalili zozote. Spitali naona ndio washachmka.
Msaada wakuu chakufya ili nimsaidie.
Huyo mdogo wako ana kisukari?
Amepima?hana