Mtumie hata 50k chaaap ata ku unblock fasta sanaMpo wana MMU.
Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.
Sikumsema Kwa Nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma.
Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.
I'm sorry chogo wangu
π π π enewei usipende mtania mtu madhaifu yake au kitu ambacho haezi kibadilisha inakuaga ngumu kwakweliMpo wana MMU.
Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.
Sikumsema Kwa Nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma.
Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.
I'm sorry chogo wangu
See? You should never make fun of someone for how they look.I'm sorry chogo wangu
π π π enewei usipende mtania mtu madhaifu yake au kitu ambacho haezi kibadilisha inakuaga ngumu kwakweli
heri kakublock apate amani

Utoto ni nini?
Utoto ni upi Kwa muktadha wa Uzi?
Nyie wote ni watoto. Tulieni mkue kwanza ndio mchumbianeMpo wana MMU.
Sikujua kama moja ya mambo wasiyoyapenda wanawake ni kuwa na Chogo, siku ya tatu leo amenipiga Pini kisa kumwambia anachogo, ni Mdada Pisi yakwenda, sikujua akinyoa kichwa chake ndio kipo vile.
Sikumsema Kwa Nia mbaya, nilikuwa namtania huku nikicheka, kumbe Manzi kamaindi kinoma.
Akatoka bila kusema lolote, nampigia simu anakata mwishowe kaniblock.
I'm sorry chogo wangu
Watoto Hawajui kutofautisha utani na ukweli.
Huwezi mwambia mtu mapungufu yake halafu useme unamtania.
Upo utani WA kweli na utani WA uongo.
Kwa wasiojua utani ndio wanataka wataniwe tuu uongo Kwa sababu ya saikolojia zao ni dhaifu hazitaki kupokea ukweli.
Mimi siwezi kuishi na mtu dhaifu asiyeweza kujikubali hata Kwa madhaifu yake.