Ameniacha, i want to forget him.

Ameniacha, i want to forget him.

Yaan,mm nina hasira na watu kama hao,,,, damn!!!!!
 
La tatu Ww bado mdogo 24 ndio kwanza tuliza mind.yko n sehemu moja ya maisha ya mapenz lazima inatokea so take easy nenda shule concentrate na masomo yako na utapa mr right. Na wala usirud nyuma ,,muache mara 1 na futa number
 
Nilikua nampenz 2medum like almst a year, bt akaanza visa anaweza asipokee sim wala kujibu sms..jana kaniambia ukweli kwamba me and him we kant copy and becoz i was a gud gal to him akawa ana delay kujibu msg au kutonitafuta ili nichoke autmatical then ni give up, kila mtu aendelee na maisha yake.
Nimelia sana bt ther is nothng we kan do..kasema si kila wapendanao huishia kuwa couples. And now i want to move on, i want to forget him please help me out.
NB: he was my first guy, i neva cheated on him, i am 24 and half.

Ni PM nikutulize mrembo....................
 
La tatu Ww bado mdogo 24 ndio kwanza tuliza mind.yko n sehemu moja ya maisha ya mapenz lazima inatokea so take easy nenda shule concentrate na masomo yako na utapa mr right. Na wala usirud nyuma ,,muache mara 1 na futa number

am done with university since 2010, thanx dear!
 
Ebu ona sasa, mpotezee. , focus on yr future ,,,most welcome pal ,,
 
kwanza pole sana dadangu ni ngumu kusahau kama kweli ulimpenda mtu na kumheshim but ndo hivo cha msingi jaribu compromise with the guy ikishindikana try to comply with the realy situation na inatakiwa ufute namba zake na kuepuka mazingira ambayo unaweza kumkumbuka ili umsahau
 
Nilikua nampenz 2medum like almst a year, bt akaanza visa anaweza asipokee sim wala kujibu sms..jana kaniambia ukweli kwamba me and him we kant copy and becoz i was a gud gal to him akawa ana delay kujibu msg au kutonitafuta ili nichoke autmatical then ni give up, kila mtu aendelee na maisha yake.
Nimelia sana bt ther is nothng we kan do..kasema si kila wapendanao huishia kuwa couples. And now i want to move on, i want to forget him please help me out.
NB: he was my first guy, i neva cheated on him, i am 24 and half.

Girl u still have a life ahead of you. Let him hit the highway. Great guys don't let girls cry. Lesson 1 u will even cook, wash and iron for them but they will still break ur heart.
 
Nilikua nampenz 2medum like almst a year, bt akaanza visa anaweza asipokee sim wala kujibu sms..jana kaniambia ukweli kwamba me and him we kant copy and becoz i was a gud gal to him akawa ana delay kujibu msg au kutonitafuta ili nichoke autmatical then ni give up, kila mtu aendelee na maisha yake.
Nimelia sana bt ther is nothng we kan do..kasema si kila wapendanao huishia kuwa couples. And now i want to move on, i want to forget him please help me out.
NB: he was my first guy, i neva cheated on him, i am 24 and half.
Nafikiri umepata chaguo sahihi, ni-pm email yako nitakutaarifu zaidi jinsi gani ya kumpata, mkikubaliana utanishukuru kwa card ya harusi.
 
pole sana dada maana najua ugumu wa haya mambo ninacho kushauri vitu ambavyo ukiviona unamkumbuka jaribu kukaa navyo mbali na tafuta vitu vingine mfano pendelea michezo ,story kusoma magazeti na vitabu utarudi katika hali ya kawaida Lakini ukisikia mapenzi ndo hayo yana pande mbili sasa wewe umezifunua pande zote [mimi nilikuwa na wa kwanza akanitenda nikasema sito penda teana nikajikuta nimependa nae kayeyuka hivi karibuni sasa nayaona mambo ya kawaida sana japo mwanzo yanaumiza sana]
 
Forget him now when the deal is still gud, ulitaka akuignore ukiwa ndani tayari?
 
Hivi siku hizi bado kuna mapenzi ya hivi? haya si yale ya zamaniiiiiii? ukigombana na mpenzi kila kitu akiendi, aaah nashukuru miye n'shakuwa sugu, tukigombana powa, tukiachana powa.
 
Nilikua nampenz 2medum like almst a year, bt akaanza visa anaweza asipokee sim wala kujibu sms..jana kaniambia ukweli kwamba me and him we kant copy and becoz i was a gud gal to him akawa ana delay kujibu msg au kutonitafuta ili nichoke autmatical then ni give up, kila mtu aendelee na maisha yake.
Nimelia sana bt ther is nothng we kan do..kasema si kila wapendanao huishia kuwa couples. And now i want to move on, i want to forget him please help me out.
NB: he was my first guy, i neva cheated on him, i am 24 and half.

it hurts i know but u know wat?U RE STILL BEAUTIFUL AND SPECIAL!na hayo yapo ndani yako sio kwa mwanaume uliyekua nae,u re a ggod gal haijalishi nani amekutenda SIMAMA AND FACE THE WORLD MAISHA BADO YANAENDELEA!kuna wanaume wazuri tu duniani wenye kujua thamani ya mwanamke ,though najua unajutia bikra yako,relax!hivo sio vitu vinakufanya upate mume au partner sahihi!uliumbwa nayo na ilifika wakati imetoka so keep on living,ur too young kukata tamaa ya mapenzi sasa,wala usimpe nafasi ya kukufanya upoteze thamani na maana ya kupenda!bado mapenzi ni kitu kizuri sana.Sikushauri udate sasa maana yu'll just look for a compesation of which ni mbaya zaidi since unaweza kujikuta unaanguka kwenye mikono isiyo salama tena ndo ikawa FINITO yako kihisia!so fanya haya yafuatayo
1.LOVE URSELF
2.TAFUTA MARAFIKI NA SPEND TIME WITH THEM
3.ACHA KUWEKA CHOCHOTE KINACHOMHUSU KAMA SOUVENIR
4.TAFUTA PROJECT YA KUDEAL NAYO,anzisha project hata ya kupanda maua,kujifunza kupika mapishi ya kigeni au ya kitanzania,jifunze lugha uliyowahi kutamani kuijua,safiri and sort of
5.KUMBUKA WAKATI MWINGINE VITU VIBAYA LAZIMA VITUUMIZE ILI VIZURI VIJE !
 
thats it(this is it)..yes i blv ther r so many guys who truly deserve me..and everythng happens 4 a reason, coz the more i hold on 4 the wrong guy, the more i chase the right ones..thanx!

thats my girl!safi!.
 
Mdogo wangu fanya hivi, kunauwezekano atakutafuta, na ole arudi.

1. usimpigie simu ikiwezekana futa hata namba yake usije ukampgia kwa bahati mbaya.
2. Acha kumfikiria kabisa.
3. Hata mkikutana njiani usimsalimie (uchune).
4. Akikupigia simu usipokee (iache iite hadi ikome yenyewe).
5. Mtu akikuuliza habari zake au uhusiano wake (kataa kuzungumzia).
6. Akija kukutafuta usikubari kirahisi ( siku ya kwanza mfukuze).

nawakilisha
 
am done with university since 2010, thanx dear!

Its my year, kumbe ulipata feki 2004 eeh? Although mwenzako nimeshakua sana as a lot of experience za mahusiano, nikiona mtu haelewek tu najitoa fasta na kuongeza spidi kwenye mambo muhimu
 
ukishaona mwanaume anaweka shida zake mbele kimbia...mwanaume unamnunulia hadi chupi? angekuwa mwanaume kweli asingekuacha ...huyo sio mtu tena shukuru huo mzigo umekutoka ungejuta maishani...jaribu no mbili na tatu utakuja kuona jinsi ulivokuwa unajitesa bila sababu...
mimi sio kwamba napenda mtu tajiri but mwanaume wa kunitegemea siwezi....nashukuru pia moyo wangu ushakufa ganzi..maana wanadai moyo mdanganyifu....
akimbilie wapi wakati kila kona wanaume?? ila kuna ukweli ndani yake, hapo bado hajakutana na ajali za kimapenzi akikutana nazo kama 3 atakuwa emekomaa. ila ushauri wangu kwakuwa bado 24yrs ajitahidi kujipanga na kujiimarisha zaidi kimaisha mpaka atakapobahatika kumpata wa ukweli. wanaume wengi hatutabiriki... mguu pande mguu sawa....
 
Back
Top Bottom