Ameniacha, i want to forget him.

Huu ushauri unaualakini
 
Pole mdogo wangu.
Siwezi kukudanganya kuwa u will be alright coz u won't. Too bad kwani ukipata mwingine utaishi naye kimachale; haya ndio madhara ya kuumizwa inakuwa hard to trust again.
Tuko, unachowashauri wanawake ni kupenda huku mguu mwingine ukiwa nje; ndio mapenzi tunayoyataka siku hizi?
What if umempenda mdada kiukwelii, halafu asikuamini na aishi nawe kimachale; hautakuja na thread ya kulaumu wanawake?

Mapenzi ya sasa yanaudhi sana kwa kweli!
 
Last edited by a moderator:
if you decide u can, I went through that like a week ago. What is hard is forgetting the history you made together. Just decide that you aint gonna keep on crying for him coz he doesnt deserve your tears.
Just try to erase all the good memories you had together and time will heal your pain
 
lodger dat!
 
njoo kwangu nikutulize kwani natafuta gal,kama upo tayari ni PM.
 
Kilahunja pole sana hii ndio dunia ilivyo na maumivu ya mapenzi huwa yanauma sana ilitokea kwangu pia mwaka jana nilidumu na binti miezi 3 tu akaanza jeuri na majibu ya dharau na nilikua nampa kila alichokihitaji na nilimnunulia baadhi ya vitu kumbe mwenzangu alikua ana kijamaa kinamdanganya hakuchukua hata miezi miwili akapigwa chini na akawa anataka kujirudi mimi nilishaamua kumsahau kabisa na wewe tulia ipo siku utayasahau yaliyokukuta
 
Umesahau Smile kumwambia kua iwe mwisho kumnunulia man nguo au zawadi unless na yeye anakupa. kama hakupi na wewe hakuna kumpa, full stop. akikupa mpe, asipokupa, usimpe. ndivyo inavyokua. wanaume maskini wa nini hao ambao hata shati na suruali wanategemea mwanamke halafu shukrani zao ziko kwenye makalio yao. Acha hizo, usirudie tena. ndio maana unaumia sana kwa sababu ya gharama ulizotumia juu yake.

hapo sasa mtu hata akili ya kununua chupi yake hana ..wa nini huyo banaaa.tupilia mbali...
Ulikuwa unafaidi nini hapo? No money no love....taabu tupu ya moyo...
 
Pole na bi dada,naomba unipm no. Yake nipo tayari kukuliwaza!
 
pole sana dada,this z the lyf and life is an interesting journey,so pray to almight and u will forget him and start new life......................enjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…