hebu njoo ruum tulale baby
mkuu huku utapofuka macho ujueMmmh . . . Aiseeee!
shukuru Mungu amekutua huo mzigo...epuka kudate vijana choka mbaya ,ambao wewe ndo unawasaidia ..hawana shukrani..trust me utapata mtu wa ukweli emotionaly na economicaly....
Pole sana dada,vumilia utampata anae kufaa,cha msingi jaribu kueliminate vtu ambavyo vinasababisha umkumbuke eg cell no,msg tamu alizokuwa amekutumia na umezisave,kama kuna snaps do away with them.badilisha joint,kama mlikuwa mnapenda kwenda pub au hotel flan kujivinjari japo ka dinner,then you should thinks otherwise.kale ka cd kenye wimbo ambao ukiusikia unamkumbuka kavunje tu kwani cd nini bana.kwa ujumla do away with any thing you think will make you think abt him.
Mhhh! Pole dear bt najua Wengi watakuwa wameshakupa Mawazo mazuri kbs, the important ting is you to accept the ctuation usisahau kuwa mapenzi ni game! Ukipata pasi Nzuri ndo itakurahisishia wewe kufunga goli!
Ila MadameX nilichojifunza ni kwamba mengi tunayoongea humu JF yanaishia hapa hapa, ni wachache sana wanayozingatia. Sasa ona huyu dada inaonekana ni wa muda mrefu tu humu ndani lakini yet hajui mapenzi feki na real yakoje (hapo kwa red).
Binafsi nilitegemea MMU iwe msaada mkubwa kwa wadau hasa wadada kwani wengi wao wanaishia kuwa victims of broken relationships, sa ona huyu maskini!!
find some one with a bigger size
trust me..you will forget him soon lol
ow yees, "kisicho rizki, hakiliki"..advice teiken!
how come mwanaume rijali kumtegema mwanamke? du....very stupid, ni mara chache sana mapenzi au ndoa za mwanaume kuzidiwa kipato na mwanamke kudumu
hebu nikae kimy manake naweza kujaza thread yote hii ushauri.
Why are you confused? Remember what makes a difference in whatever we do in life is how we respond to the challenges and set backs. If you decide to be free and happier so be it...achana na haya mambo ya kuamua kuwa confused for no good reason...this world is full of good men too. Go out there look for one!!i am gvn my self a break..am confused!