myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 166,767 Reaction score 705,461 May 9, 2023 #21 rubii said: RIP JAMIIFORUM RIP GREATTHINKERS Click to expand... Kizazi hiki.....
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 May 9, 2023 #22 Ngoja vita ya ukraine iishw kwanza ndio tutarudi kujadili mada yako
Walisamaki Senior Member Joined Nov 28, 2022 Posts 199 Reaction score 324 May 9, 2023 #23 ndo madhara ya ku boost kenge wewe kula chakula kizur matunda kwa sana ucsahau mazoez kapige show utanishukuru
ndo madhara ya ku boost kenge wewe kula chakula kizur matunda kwa sana ucsahau mazoez kapige show utanishukuru
Sharamdala JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 3,558 Reaction score 6,538 May 9, 2023 #24 Ukiachwa ACHIKA
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 May 9, 2023 #25 Achana na mapenzi wekeza kwenye kutafuta hela,kwa sasa huna hela ndio maana umeachwa kwa sababu ndogo hivyo,ungekua na hela kwa sababu hii uliyotoa hapa usingeachwa
Achana na mapenzi wekeza kwenye kutafuta hela,kwa sasa huna hela ndio maana umeachwa kwa sababu ndogo hivyo,ungekua na hela kwa sababu hii uliyotoa hapa usingeachwa