Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Faza faza ni kweli nenda gym..
Si kuna siku ulileta malamiko kuwa ulifunywa naniliu kisa ulimlalia mtu.
Faza kweli una mwili fanya upunguze tu
 
Ninyi ndo mnafanyaga nione asilimia kubwa ya wanaume walioajiriwa kama hawajitambui hivi
 
Mwanamke hatakiwi kupenda Muonekano wako anatakiwa kukupenda kama ulivyo

Kuhusu mtoto kwann alikuficha??
Kifupi hakuna wife material hapo
Watu wanaangalia akili sio kifua.

Na wewe unahangaika kumridhisha mwanamke???
Kama hakuweza kuulewa huu ujumbe basi jamaa anaenda kupigwa na kitu kizito.
 
Kwema wakuu?

Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.

Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k

Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.

Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.

Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.

Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.

Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.

Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.

Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.

Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.

Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.

Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?

Nalileta kwenu wakuu wangu
Hapo unalazimisha mahusiano ndugu! Basically huyo mwanamke hakupendi hata kidogo anataka kitu kwako! Jiingize hapo uharibu maisha yako
 
Unajua nakuheshimu sana hio kauli ni ya kinafiki sana 😀😀😀😀😀 anywayz mapenzi hayashauriki kuna siku mkiwa pamoja utaanza kumuonesha comments zetu kuwa tulikuwa hatutaki uwe nae mambo mengne kibao huyo mpenzi wako bhn kiufupi hajaridhika na wewe tafta wa kuendana na wewe kulingana na ulivyo alafu mengne mtarekebishana mkishaingia ndan lakin pia mpaka anakuficha kuwa ana mtoto mkubwa pia sio nzuri maana ushatanguliwa kwa hatua fulan ubaya wa hilo unaweza kuta bado anawasiliana na baba wa mtoto mnaweza kuwa mko ndan bado ukapgiwa maana alikutangulia huyo msela bado mtakuwa na mke mmoja usipokuwa makin baada ya machache hayo niseme uamuzi wa mwisho uko mikononi mwako boss
 
Kwema wakuu?

Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu.

Na kwawakati uo tulikua nimarafiki yaani best friends. Nilikuwa nalipa transport bills zake, kodi japo mara moja moja, kumtoa out na rafiki zake ikwemo cousins zake, kumnunulia vitu mbali mbali n.k

Achilia ile M1 ya kwake pekee, nilishamlipia mpaka bro wake ela tra kwenye issue za biashara zake.

Sasa mpaka mwezi wa kumi mwakajana nikaamua kumuambia ukweli nampenda na ukizingatia tulikuwa karibu, ajabu aliniruka mita 100 na kusema mimi ni kama kaka yake tu na haitotokea kamwe anivulie nguo.

Moyo ulizima kwa dk kadhaa, akili iliruka kwa dk kadhaa. Sikuamini kabisa.

Nikamuambia anyaways naheshimu mtazamo wako. Nikaomba tuendelee kua marafiki akasema yes. Sasa mwaka huu mwezi wa pili nikagusia tena suala langu.

Safari hii hakuonesha upinzani sana, akaniambia yeye anapenda mwanaume mwenye kifua kipana na mrefu.

Mimi ni mrefu ila sina kifua kipana sana so nikaanza kwenda gym.

Hapa juzi tu nimegundua ana mtoto mmoja tena mkubwa tu kidogo. Tukaongea sana kwa sms na nikamsema sana, ajabu ananiambia nikimuoa basi ni sharti nikae na kulea mwanawe.

Nikakubali na hapa nipo katikati natengenzeza mwili.

Shida ni mtoto wake, yeye nampenda ila mtoto wake hana adabu na nilikua namuona kwa baadhi ya ndugu zake kabla ya kujua kua niwake.

Nipo dilema kabisa hapa. Hivi hakuna njia naeza tumia nikaishi na mke wangu pasipo kuishi na mtoto wake huyu?

Nalileta kwenu wakuu wangu
Stupid
 
Back
Top Bottom