Ameniambia niende gym nitengeneze mwili ili nimuoe

Faza faza ni kweli nenda gym..
Si kuna siku ulileta malamiko kuwa ulifunywa naniliu kisa ulimlalia mtu.
Faza kweli una mwili fanya upunguze tu
 
Ninyi ndo mnafanyaga nione asilimia kubwa ya wanaume walioajiriwa kama hawajitambui hivi
 
Mwanamke hatakiwi kupenda Muonekano wako anatakiwa kukupenda kama ulivyo

Kuhusu mtoto kwann alikuficha??
Kifupi hakuna wife material hapo
Watu wanaangalia akili sio kifua.

Na wewe unahangaika kumridhisha mwanamke???
Kama hakuweza kuulewa huu ujumbe basi jamaa anaenda kupigwa na kitu kizito.
 
Hapo unalazimisha mahusiano ndugu! Basically huyo mwanamke hakupendi hata kidogo anataka kitu kwako! Jiingize hapo uharibu maisha yako
 
Unajua nakuheshimu sana hio kauli ni ya kinafiki sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ anywayz mapenzi hayashauriki kuna siku mkiwa pamoja utaanza kumuonesha comments zetu kuwa tulikuwa hatutaki uwe nae mambo mengne kibao huyo mpenzi wako bhn kiufupi hajaridhika na wewe tafta wa kuendana na wewe kulingana na ulivyo alafu mengne mtarekebishana mkishaingia ndan lakin pia mpaka anakuficha kuwa ana mtoto mkubwa pia sio nzuri maana ushatanguliwa kwa hatua fulan ubaya wa hilo unaweza kuta bado anawasiliana na baba wa mtoto mnaweza kuwa mko ndan bado ukapgiwa maana alikutangulia huyo msela bado mtakuwa na mke mmoja usipokuwa makin baada ya machache hayo niseme uamuzi wa mwisho uko mikononi mwako boss
 
Stupid
 
Yaani mtoa mada ni lipumbavu sijawahi ona, K tu analipia zaidi ya milioni moja na mpaka sasa hajaichakata, wengine tunachakata na kumpa elfu kumi tu kama posho ya nauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…