Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
kwa mfano ukizisoma na ukakuta unaibiwa utamwachaa. IF NOT assume upo mwenyewe jipondee marahaJaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N
WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU
Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N
WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU
shida yote ya nini kama anacheat mmwage, kama unaona anakupa mateso ya moyo badala ya faraja tupa kule,uki-hack cm yake ukakuta mayb yupo na mahusiano na watu zaidi ya watatu,halafu wewe kakusave 'nyau' kwenye phone book utafanyaje? Maumivu mengine ni ya kuepukika
You can do this by using cell phone monitoring software. Yup, they're available and I will review various ones later on.[/B][/SIZE][/FONT][/SIZE]
SpyBubble - Cell Phone Spy Software
Sio vizuri huyo mtu kukunyima sim yake,lakini unaitaka ya nini?Tatizo laweza kuwa limeanzia kwako!Unapotafuta kitu unapokipata inatakiwa ufurahi sio kuchukia labda ukutane nacho bahatimbaya ndo utachukia coz ulikuwa haukitafuti!
Hiyo yote ni kutafuta sababu ya kuachana na huyo jamaa yako!!!Jiulize haya:-
1.Wakati mnaanza mahusiano mlikubaliana kuangaliana simu zenu au hilo umelitunga wewe????
2.Kama yeye haangalii simu yako wewe kinachokuwasha ni nini,unadhani wewe ndio unampenda sana kuliko wewe.Kama hakupendi c angekuwa kashakubwaga kwani mmewekeana gundi?
3.Kuna mambo mengine ni private sana hasa yanayomuhusu yeye binafsi au na familia yake!!!wewe hayo wayatakia nini?
4.Naamini hii stori imetungwa ujue kama hiyo inawezekana au laa
5.Je umemsimulia mwenzio mambo yako yote(historia ya kiunyumba) ,kama bado msimulie kwanza
6.Tuko wengi ambao simu zetu haziguswi na mtu labda sijui iweje
Ushauri-ukitaka kusoma meseji za jamaa yako jipenyeze ukafanye kazi kampuni ya simu,nmc au kitengo gani kile utasoma zote na utasikia simu zote
Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N
WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA KUHACKLE SIMU YAKE NIZISOME MESSEJI ZAKE KWA MBALI TUMALIZANE NA HUYU
Huyu nampenda sana siwezi kumuacha ila lazima tu nijue anafanyeje